Wasioujua ukweli kuhusu Corona Tanzania

Inawezekana hata taarifa ya Kikwete imepikwa kuficha kilichosababisha umauti wa mpendwa wetu?
Maana taarifa ingesena basi, mtajulishwa sababu ya kifo baada ya vipimo...!

Maana ni lazima tujue kwa mijibu wa sheria
 
Inawezekana hata taarifa ya Kikwete imepikwa kuficha kilichosababisha umauti wa mpendwa wetu?
Maana taarifa ingesena basi, mtajulishwa sababu ya kifo baada ya vipimo...!

Maana ni lazima tujue kwa mijibu wa sheria
Sasa ni nani atakuambia ukamuanini iwapo hata Kikwete aliyekuwa hosptiali na marehemu naye unasema ni mwongo; kila atakayesema usilotaka kusikia hutamsikia. sasa msubilini mama Anna Mkapa huenda naye aksema ya kwake, na vile vile yasipokufurahisha, pia sijui kama utakubaliana nayo. Kuna madakatri walikuwa wanamutibu mzee huyu; siyo kuwa wao hawajali afya zao; kama walikuwa wanamtibu na kuruhusu watu wengine kuja kumwangalia mgonjwa, ina maana gani kwako?

Hayo ndiyo matatizo yanayoletwa na conspiracy theory disease.

Koffi Annan akiwa na umri miaka 80 aliugua muda mfupi sana na kufariki akiwa Geneva Uswisi hata kabla ya Korona kuingia; kuna tofauti gani kati ya Annan na Mkapa kufa?
 
Hii ni vita ya kiuchumi,swal bwana mkubwa,vip wewe ama ndugu zako kuna aloyekufa na corona?
 
Huna ndugu wa kuweza kukuwekea dhamana ndugu yang. Mambo mengine wengi wameamua kuyaangalia na kukaa kimya tu.
 
Endelea kukataa! Wewe ni muuaji. Korona ipo. Jilinde wewe na wenzako pia kwa kuchukua tahadhari. Your carelessness is a disaster to others.
Wote tunajua corona ipo... Ila hapa tunazungumzia kifo cha mkapa... Tunataka ushahid wako je ni kweli kafa kwa corona au habari za mitaani

Sijajua una elimu gani ?? Lakin kama msomi hupaswi kusikiliza mambo ya mtaani...

Sio kila anaekufa ni corona.. Think big man
 
Hakuna alieniambia Ben alikuwa anaumwa nini ndio maana sijaamini mtu bado!
 
Hakuna alieniambia Ben alikuwa anaumwa nini ndio maana sijaamini mtu bado!
Wote tunatembea na maradhi miilini mwetu; mengine hayajulikani hadi madhara yake yanpoonekana. Kama hukusikia miaka 15 yote kuwa Mkapa bado alikuwa ana madakatari wanaangalia afya yake, basi huwezi kuelewa kuwa miili ya binadamu siyo ya chuma.
 
Kinachoisadia Tanzania ni demographics. Tuna very young population, nakumbuka median age ni 17 years, tunaugua na kupona kimya kimya bila kuwa na significant mortality rate. Sasa watu waendelee kujidanganya ugonjwa umeisha...
 
Mkuu corona ipo sana na inatafuta vibaya.Binafsi nawasubiria watu wawili,wakiweza kutoboa hadi October 28 nitaamini corona imeisha,RIP mkapa though safari haikuwa yako
 
Kipimo halisi ni tabia ya corona ambayo speed ya kuambukiza kwa 14 day.
Kama mashule yamefunguliwa zaidi ya 21 days na hakuna outbreak kwenye mirundikano , basi corona imefifia na iko njiani kupotea.
 
Korona imezidi kukoronea hapo kenya, ukifuatilia kwa jicho la tatu utaona kwamba walilamba mabilioni ya wazungu kutoka IMF and WB kwa ajili ya kupambana na changamoto za kiuchumi zinazoletwa na korona, na masharti waliyopewa ni kwamba ni lazima wapime na kutoa takwimu. Sasa hilo swala limewang'ang'ania shingo korona kenya inaongezeka kila kukicha na haionyeshi dalili za kupungua. Ukila pesa za wazungu, jiandae kwa mambo ya chini ya kapeti au yale ya gizani kama ushoga na haya makorona. Mnakumbuka walivyotaka kukomaa kuingiza ebola Tanzania?
 
Hivi unajiskia?? Kabisa Malaria unaifananisha na Corona? We ukiongea na mtu mwenye Malaria bila barakoa au kumshika mkono utaambukizwa? Corona ishaambukiza watu mil 13 duniani kwa miezi saba tu toka ugonjwa ugundulike, tumia akili
Akili zetu zimeshikiliwa na rafk yake Bashite( Jpm),chochote anacho sema,tenda na kuwaza ndo msimamo wetu na familia zetu. Over
 
1=Nyerere,
2=Mwinyi,
3=Mkapa,
4=Kikwete,
5=Magufuli.
Then by arithmetic progression (AP)
1,3,__, find the third term!

Ni wakati wa kumrejea Mola na kutubu!
nchi zote majirani zinamarais waliofariki wakiwa madarakani isipokuwa sisi. corona ituondolee gundu sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…