Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,323
- 6,810
Inawezekana hata taarifa ya Kikwete imepikwa kuficha kilichosababisha umauti wa mpendwa wetu?Kufa ni kitu kimoja, na sababu ya kifo ni kitu kingine. Kikwete alitoka hospitali pale jioni akimwacha Mkapa anaendelea vizuri, na baadaye saa 6:20 usiku Magufuli akatanganza kuwa Mkapa amefariki. Muda huo kati ya saa 12 jioni hadi saa 6 usiku ni muda mfupi sana kwa madakari kufanya post mortem kujua ni nini sababu ya kifo hasa kwa vile inawezekana akawa amefariki muda mfupi kabla ya tangazo hilo la kwanza kwa sababu hiyo ya "..as soon as possible..."
Maana taarifa ingesena basi, mtajulishwa sababu ya kifo baada ya vipimo...!
Maana ni lazima tujue kwa mijibu wa sheria