Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
ni nini kitanifanya nisiione hii kuwa ni wish list tu?
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.
1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo.
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.
Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.
ni nini kitanifanya nisiione hii kuwa ni wish list tu?
Wish lists zimekuwa nyingi mno JF. Mi nadhani bunge liwe scrapped all together hatuhitaji kitu kama hicho, tunapenda kuiga kila kitu hata visivyo na ulazima. Yale majengo ya bunge na equipments zake, zingafaa sana kuwa University au majengo ya hospitali ya kisasa.
Kama tatizo ni kutunga sheria tunaweza kufanya hivyo kwa njia tofauti. Kama kuisimamia serikali, tufanye auditing kwa kila wizara kutoka kwenye independent bodies.
Kama bado wanang'ang'ania siasa, waanzishe klabu za siasa na bunge kwa gharama zao..
my 2 pennies..
Mbona umesahau jimbo kuu la Tanzania linaloshikiliwa na Jakaya Kikwete
Mbona umesahau jimbo kuu la Tanzania linaloshikiliwa na Jakaya Kikwete