Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
886
376
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.

1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo.
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.

13. Wabunge wote wa CCM waliokuwepo kwenye kikao cha NEC na kukaa kimya wakati bunge linaandamwa kwa kufanya shughuli zake kama inavyotakiwa kikatiba.

Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.
 
Last edited:
Anna Kione Kilango Malecela-Same Mashariki. jimbo la Same Mashariki liko nyuma kuliko majimbo yote katika mkoa wa Kilimanjaro. Same Mashariki iko nyuma ktk elimu,afya,maji,mazingira,misitu,kilimo,barabara.
 
Last edited:
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.

1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo.
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.

Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.

Hapa una maanisha kutania nini? Sasa si list nzima itaonekana ni utani. Labda ufafanue.
 
ni nini kitanifanya nisiione hii kuwa ni wish list tu?

Wish lists zimekuwa nyingi mno JF. Mi nadhani bunge liwe scrapped all together hatuhitaji kitu kama hicho, tunapenda kuiga kila kitu hata visivyo na ulazima. Yale majengo ya bunge na equipments zake, zingafaa sana kuwa University au majengo ya hospitali ya kisasa.

Kama tatizo ni kutunga sheria tunaweza kufanya hivyo kwa njia tofauti. Kama kuisimamia serikali, tufanye auditing kwa kila wizara kutoka kwenye independent bodies.

Kama bado wanang'ang'ania siasa, waanzishe klabu za siasa na bunge kwa gharama zao..

my 2 pennies..
 
Wabunge wote watakao kaa bungeni miaka mitano bila kusema chochote kwenye vikao vya bunge. Ukiangalia vikao vingi vya bunge utakuta "waheshimiwa" wengi kazi yao kuchapa usingizi au kupiga story. Waondolewe hawa kwa sababu hawa fanyi chochote kwa ajili ya majimbo yao wa taifa kiujumla. Washa kula hela na mirupurupu za bure sasa wakale pension zao.
 
Wish lists zimekuwa nyingi mno JF. Mi nadhani bunge liwe scrapped all together hatuhitaji kitu kama hicho, tunapenda kuiga kila kitu hata visivyo na ulazima. Yale majengo ya bunge na equipments zake, zingafaa sana kuwa University au majengo ya hospitali ya kisasa.

Kama tatizo ni kutunga sheria tunaweza kufanya hivyo kwa njia tofauti. Kama kuisimamia serikali, tufanye auditing kwa kila wizara kutoka kwenye independent bodies.

Kama bado wanang'ang'ania siasa, waanzishe klabu za siasa na bunge kwa gharama zao..

my 2 pennies..

To do so you must come up with an alternative. Umesema nini kifanyike but haujasema haswa hiyo nchi bila bunge litaendeshwaje. How will your idea b implimented logically? Labda unge tueleza kidogo.
 
Kingunge Ngombali Mwiru ameeshazeeka hafai kwenye serikali tena, nashangaa serikali bado imemkumbatia. Wazee kama hawa serikalini wanaziba nafasi za vijana kukaa kwenye madaraka.
 
Mbona umesahau jimbo kuu la Tanzania linaloshikiliwa na Jakaya Kikwete

Hilo mbona inaeleweka kuwa mgombea wake hupita bila kupingwa mpaka atakapomaliza miaka yake kumi: "kulingana na taratibu tulizojiwekea ndani ya chama chetu cha WAKULIMA NA WAFANYAKAZI"
 
nazir karamagi - Bukoba v
edward lowassa - monduli
andrew chenge -
hamis kagasheki - bukoba (mj)
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom