Hiyo ndugu ,hapo elimu ipo na imejaa ,tena imejaa vibaya sana,tatizo nyinyi mnajidai TooMuchKnow ,nimeona dharau zako ,ila nakuwacha kama ulivyo, dini ndio kila kitu ,sijui huko ukiristoni (Nachukulia wewe ni Mkiristo) ,katika mtu kudai Nchi yake au haki za Nchi yake ,huhitaji elimu ya chuo kikuu wala chuo kidogo , WaZanzibari hawahitajii elimu kubwa sana au hata kidogo kujua yanayofanywa na mkoloni mweusi ,ya muarabu tulishamalizana nae kitambo ,ila ni bora huyo wa zamani angalau tulikuwa na treni tukafikia kuwa na meli ,...Leo hii meli zipo wapi ? Nani kaziua nani akizitumia kusafirishia majeshi kuelekea kusini ? Uchumi umekufa nani kauua ,hapa hapahitajii elimu ndugu ,hao uamsho kama utawafuatilia ,wanaelimisha na kuzindua ,elimika na maana hizo tu ,huenda nawe ukafunguka ,kuliko unavyoonyesha umejaa chuki na UISLAMU , UISLAMU ulivyo wewe hutaupunguzia kitu wala kuuzidishia ,Dunia nzima na viumbe vyote viuchukie uislamu basi bado mtakuwa hamjapunguza kitu. ...Usinipeleke huko nikaja nikafungiwa.