Acha umbulula,hayo ni maoni ya wazbri,kama vp itafute tanganyika yako ilipo.
Mjinga ni wewe unaeongozwa na kasumba ,unashindwa kujielewa ,unashindwa kufuata uamuziwako unangojea kuamuliwa,unangojewa kuchaguliwa ,unayajua aliyoyafanya Nyerere ? Nyerere alisema kama ana uwezo angevitupa visiwa vya Zanzibar mbali sana ,unaionaje kauli hiyo ? Nyeerere huyuhuyu alilazimisha watu waishikwenye vijiji vya ujamaa ,unamuonaje ?
Halafu wewe usijidai sana historia ya WaTanganyika inajulikana ni wapi walipotokea ,Tanganyika ilikuwa pori tu hadi kwenye misitu ya Congo ,sasa si ajabu wewe ulitokea huko ,soma historia ujijuwe ulitokea wapi ?
Sawa sawa mkuu kwenye baba lazima pawepo na mama lakini Kwani Nyerere baba wa taifa gani Tanganyika au Tanzania
Kwani wewe alikupitia ? Unaisifia mvua :loco:
Znz wapewe mamlaka kamili ugomvi utakwisha then waulizwe kama muungano wanautaka,the same to Tanganyika.Baada ya hapo ndio kitajulikana nini cha kuufuata.
Maskini CCM na Muungano wanaoukumbatia
Hapana, hayo makitu huku kwetu hayapo, nimesoma tu vitabuni sifa za aliyepitiwa nayo nikaona zinashabihiana na tabia zenu.
Wanabodi,Mkuu Mwiba, nimewasikia mwanzo mwisho!, kuusema ukweli baadhi yao ni vichaa kabisa ila bado hawajaanza kuokota makopo na baada tuu ya kupatikana kwa katiba mpya nakuhakikishia makopo wataokota!.
Kale kakichaa kwa kwanza kanadiriki kumwita yule Mzee , jinsi alivyomuita, hako ka mala ... ka Kinzanzibari ni laana kabisa!. Katakuwa ni kaana haramu kabisa kale!, kalilaaniwa, kaka laanika na hapo kamekuja kumwaga laana tupu. Mlaaniwa huyo laana!, na imuongezekee mara sabaini fii sabaa !.
Pasco