Wasikilize Wazanzibar na Muungano - Siasa weka kando

Wasikilize Wazanzibar na Muungano - Siasa weka kando

hivi wanaoitaka zanzibar ni wazanzibari wote kweliiiiiii au ni wale tu desendants wa waarabu? nauliza tu.
Mkuu, hiyo video umemuona mwarabu au muhindi au desendants ya mkabila ya asia hata mmoja
 
Mipaka inajulikana kimataifa. Usiwe na wasiwasi. Ninalo ona mimi hapa ni kuwa wengi wetu hatuijui historia ya Zanzibar visavis Tanganyika. Hili ndio tatizo.
 
huyo mdada anamwita Nyerere "laana" ni mjinga asiye na hata chembe ya uwelewa. halafu hawa wanzanzibari tunakaa nao ili tuwasaidie lakini wanatuona sisi(watanganyika) ni machizi,sasa tuwafukuze wote huku bara tuone watakwenda wapi. msitake tuamke. kumwita Nyerere laana ni sawa na kutukana ukoo wako woooooote. k sana wewe.
Mjinga ni wewe unaeongozwa na kasumba ,unashindwa kujielewa ,unashindwa kufuata uamuziwako unangojea kuamuliwa,unangojewa kuchaguliwa ,unayajua aliyoyafanya Nyerere ? Nyerere alisema kama ana uwezo angevitupa visiwa vya Zanzibar mbali sana ,unaionaje kauli hiyo ? Nyeerere huyuhuyu alilazimisha watu waishikwenye vijiji vya ujamaa ,unamuonaje ?

Halafu wewe usijidai sana historia ya WaTanganyika inajulikana ni wapi walipotokea ,Tanganyika ilikuwa pori tu hadi kwenye misitu ya Congo ,sasa si ajabu wewe ulitokea huko ,soma historia ujijuwe ulitokea wapi ?
 
Huwa siamini mtu anae kuchukia kupita kiasi halafu muungane nae na kuwe na maendeleo au faida ktk huo muungano. Kichwa kinaniuma ninapo tafakari hiyo kauli ya JKN sipati jibu la kwanini alitamka hilo na kwanini alirudi akaunganisha Tanganyika na Znz wakati amesha toa kauli nzito inayo chukiza kwa Wazanzibari.
 
Mjinga ni wewe unaeongozwa na kasumba ,unashindwa kujielewa ,unashindwa kufuata uamuziwako unangojea kuamuliwa,unangojewa kuchaguliwa ,unayajua aliyoyafanya Nyerere ? Nyerere alisema kama ana uwezo angevitupa visiwa vya Zanzibar mbali sana ,unaionaje kauli hiyo ? Nyeerere huyuhuyu alilazimisha watu waishikwenye vijiji vya ujamaa ,unamuonaje ?

Halafu wewe usijidai sana historia ya WaTanganyika inajulikana ni wapi walipotokea ,Tanganyika ilikuwa pori tu hadi kwenye misitu ya Congo ,sasa si ajabu wewe ulitokea huko ,soma historia ujijuwe ulitokea wapi ?
Wote hapo Zanzibar ni Maniger yaani si kwao walipelekwa hapo kwa kusombwa na Waarabu wote ni Masalia ya Watumwa iweje wajidai eti hapo ni kwao ? Wazenji wapo 1.5 million lakini ni Walalamishi Hakuna Mfano Duniani Kumbuka Dunia nzima watu wanaupinga Ukoloni lakini cha kushangaza Wazenji wanatamani kuurejesha Ukoloni wa Kiaarabu ! Hawajitambui Kuwa vile Visiwa vinaliwa na Bahari ipo siku vitayeyuka na watarejea kwao huku bara na kuyaacha makaburi ya ndugu zao yakimezwa na Bahari . Wazenji ni Watu wa Ajabu sana huwa hawana Shukrani hawajui Kuwa Tz bara inawabeba sana kwa kila sekta
 
Wazenji wamejazana Bara wanamiliki viwanja nyumba na maduka kwa wingi lakini ni Vigumu kwa Mtu wa Bara kumiliki Aridhi kule Zenji Pia Wazenji wao wanateuliwa Kuwa Mawaziri na vyeo vingi tu wanapewa huku Tz bara lakini Wao ni vigumu kwa mtu wa Tz bara kupewa uwaziri kule Zenji hata wabunge wa Bara hawanusi Bunge la zenji Lakini Wabunge wa Zenji wanajazana Dodoma na huwa wanakaa vikao vya bajeti ktk Wizara ambazo si za muungano na wanalipwa posho wasizostahili kulipwa kwa Kifupi Wazanzibar wanawachuna Wabara kisha wanapiga Mayowe ili wabara washindwe kung'amua Mapungufu Yao Siku ikitokea Muungano ukavunjika Tz Bara itakuwa Nchi Tajiri kuliko South Africa kwani Pesa inayotumika kuiendesha Serikari ya ZNZ itasalia bara na kuinua Uchumi kwa kasi ya ajabu sana Wazenji watahesabika Kama Raia wa kigeni watalipia Viza na Vibali vya kuishi bara Umeme na chakula tutawauzia kwa Dola hakika Tz bara itapumua na Mzigo ilioubeba bila kujielewa kwa hata km za mraba za jimbo analowakilisha Mbunge wa zenji ni sawa na Eneo abalotawala m/kiti wa kijiji huku bara yaani Eneo dogo lakini Lina wabunge wengi Hakuna mfano Wazenji kaeni Mtulie ili muendelee kuwachuna Tz bara kiulaini lakini huo Ukoloni wa kiaarabu mnaoutaka kwa kisingizio cha utajiri wa mafuta Mnajidanganya sana Tambua bara bahari ipo Tanga hadi mtwara mafuta yapo mengi sana hatuna shida na mafuta ya zenji Rasilimali zetu zinatutosha
 
Historia inasema na inaonyesha kuwa baadhi ya sehemu ya Tanganyika ni ya Zanzibar

Maana ya Neno wazanzibar ni kwamba Wazazi wako Bara yaani Maana yake ni kwamba wote walihamia kwa kupelekwa kwa Nguvu hapakuwa kwao kiasili walihamia ni wahamiaji tu walisombewa huko kiutumwa na Waarabu
 
Hivi hawa Wanzanzibar wanajiamini nini huku hawa-trust in uzazi wa mpango!Hivyo visiwa itakuwa ni balaa tupu baadae!

Wao wenyewe si kwao kiasilia Utumwa Ndio uliwapeleka hapo Visiwani sasa Bahari inavimega Visiwa Miaka ijayo vitajaa Maji watakimbilia hapa hapa Bara kwani Hakuna Nchi itawataka watu walalamishi kiasi Kama chao wataludi bara tu waje kwenye asili Yao ambako wameyazoea malalamishi yao
 
huyo mdada wa mwanzo anayemuita nyerere kalaaniwa nadhani hata kuolewa haoleki
 
Acha umbulula,hayo ni maoni ya wazbri,kama vp itafute tanganyika yako ilipo.

Maoni yapi ? Hao wote wanaonekana wamepewa Vijicent ili wajitoe Fahamu na kulopoka ujinga tu Hawajui Kuwa Visiwa Vinaliwa na Maji Aridhi inamegeka inapungua ipo siku Sunami itakimeza kisiwa wataludi kwao kwenye asili Yao watayajutia hayo wanayoyalopokea .
 
huyo mdada wa mwanzo anayemuita nyerere kalaaniwa nadhani hata kuolewa haoleki

Huyo mdada Ana UTI ya fikra amejitoa Fahamu kisa kapewa vijicent vya ngama Nina imani sasa atakuwa anajutia ujinga wake
 
Dhambi ya Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu.....
 
Wote hapo Zanzibar ni Maniger yaani si kwao walipelekwa hapo kwa kusombwa na Waarabu wote ni Masalia ya Watumwa iweje wajidai eti hapo ni kwao ? Wazenji wapo 1.5 million lakini ni Walalamishi Hakuna Mfano Duniani Kumbuka Dunia nzima watu wanaupinga Ukoloni lakini cha kushangaza Wazenji wanatamani kuurejesha Ukoloni wa Kiaarabu ! Hawajitambui Kuwa vile Visiwa vinaliwa na Bahari ipo siku vitayeyuka na watarejea kwao huku bara na kuyaacha makaburi ya ndugu zao yakimezwa na Bahari . Wazenji ni Watu wa Ajabu sana huwa hawana Shukrani hawajui Kuwa Tz bara inawabeba sana kwa kila sekta

Unataka kuniambia waarabu waliingia znz ikiwa haina mtu mweusi? Huu utafiti uliufanya kwa muda gani na ulishirikisha wznz wangapi mpaka ukagunduwa kuwa wazanzibari wanataka kuurudisha utawa wa kikoloni wa sultan jemshid au waarabu walio pinduliwa. Na je uliwahi kuonana na hao waarabu ukawauliza kama wako tayari kurudi zanzibar na kuitawala tena zanzibar? Au unaandika tu kwa kuwa unajua kuandika. Mm nadhani hujui ukisemacho na huwajui hao waarabu ulio waandika jaribu kufuatilia jambo kambla hujalisema. Migogoro yetu usiwashirikishe watu na mataifa yasio husika huu muungano tokea siku ya kwanza unasainiwa na waasisi JKN na AAK palikuwa na watu wanaulalamikia. Malalamiko hayakuanza kwa hao ulio waona leo humu jf.
 
Maana ya Neno wazanzibar ni kwamba Wazazi wako Bara yaani Maana yake ni kwamba wote walihamia kwa kupelekwa kwa Nguvu hapakuwa kwao kiasili walihamia ni wahamiaji tu walisombewa huko kiutumwa na Waarabu

Kweli nakubaliana na wewe,lakini unatakiwa ujue kuwa wapo waliopelekwa Zanzibar kama watumwa, wako waliohamia na wako waliokuwepo zanzibar kabla wageni kama warabu hawajafika zanzibar,unatakiwa ujue vile vile kuwa warabu waliitwa na wenyeji wa zanzibar, lakini hizo zote sio sababu ya kuwafanya wazanzibari wasiombe haki ya nchi yao

Ukichukulia mfano wa nchi kama USA wakaazi wengi ni wageni, wako waliopelekwa wako waliohamia wenyewe na wako walikuwepo pale kabla ya mwingereza kuwatawala lakini mwisho wa habari wamerekani walikataa kutawaliwa kuwa chini ya Mwengereza(GB)
 
Hili ungano la nyerere lina shida balaaa.
 
Maoni yapi ? Hao wote wanaonekana wamepewa Vijicent ili wajitoe Fahamu na kulopoka ujinga tu Hawajui Kuwa Visiwa Vinaliwa na Maji Aridhi inamegeka inapungua ipo siku Sunami itakimeza kisiwa wataludi kwao kwenye asili Yao watayajutia hayo wanayoyalopokea .

Mambo ya vijicenti yako huko CCM ,isiwe unaepewa ni wewe ukaona na wengine wamefanana na wewe, aafu hilo la bahari kuimeza Zanzibar wenyewe wanalijua ,wameambiwa na kina nyinyi kuwa baada ya miaka mia Zanzibar itakuwa haipo ,haya na isiwepo kwani wewe utakuwepo ?

Sijui unaijua Zanzibar na mipaka yake kabla ya babu yako hajazaliwa ? tatizo mnaogopa kuisogelea bahari na mkiikaribia inabidi mshikwe mkono , ,sasa sikia ikipita serikali tatu isipite huko kwenye bunge lenye wajumbe 99% ,Zanzibar wao watasepa kama mshirika wa Muungano ,just watajitoa rasmi ,hivi mkataba wa Muungano upo ? Unasemaje juu ya nchi moja ikitaka kujitoa katika Muungano huo ,as in East Africa ?
 
Znz wapewe mamlaka kamili ugomvi utakwisha then waulizwe kama muungano wanautaka,the same to Tanganyika.Baada ya hapo ndio kitajulikana nini cha kuufuata.
 
Back
Top Bottom