umeambiwa alipata four ya pcb aafu alikuwa familia nzuri,uwezo wake uko wapi? Ni wachache sana waliosoma nje ya tz wenye uwezo mzuri kama waliosoma tz. Hasa waliopelekwa na wazazi wao kwa kukosa uwezo wa kupewa program za kitaifa.
Hongera kaka kwa kuachana na MAJUNGU na kueleza ukweli!
hii miaka ina utata mkubwa.................?????????--Hamersmith Hospital U.K/ Masters in Internal Medicine/-1993-1997 /MASTERS DEGREE
-Marmara University Turkey/ Doctor of Medicine/ 1985-1992 /CERTIFICATE
-Tambaza High School/ A-Level Education /1982-1984/ HIGH SCHOOL
-Azania Secondary Schoo/l O-Level Education/ 1981-1982 /SECONDARY
-Manor House Primary School/ Primary Education /1978-1981 /PRIMARY
-Oysterbay Primary School/ Primary Education/ 1974-1978 /PRIMARY
sio kila anayesoma nje ni kiazi mkuu!! na udactari it doesn't matter umepata ngapi form four ... experience matters! sidhani kahiruki walimuajiri huku cv ikiwa mbovu!! ni makosa tu ya uchapishaji...
Hii CV imepostiwa kwenye website ya bunge means ameiandika mwenyewe2sicomment ki2 ambacho huna uhakika nacho,lazma yeye mwnyewe akiri km ni CV yake,c o 2nacomment tu busara inahitajika!
vipi kuhusu yako???- Sawa sawa mkuu, balanced na imetulia sana!, labda tuseme mapungufu yake kiuongozi lakini siamini kwamba elimu yake ina utata hata kidogo!
William.
Cv ya kinyonga o level miaka miwili hahahha hata china haipo iyo tutafute labda sayari ya pluto
tafuteni watu wengine wa kuwasimanga kielimu..........lakini sio Dr. Hussein Mwinyi...........jamaa ana uwezo mkubwa darasani........semeni kingine lakini sio elimu yake.........
Weweee! Usimtaje nchimbi VC wa Mzumbe atakusikia? Kiukweli nchimbi ni kiazi.
Tuwekeeni na cv ya mwenyekiti Mbowe, nasikia alitunukiwa shahada ya u dj na Dj Seydou!
Wanaohoji cv ya Dr. Mwinyi wao watuwekee cv zao tuine wana hadhi ya kuhoji cv, au wao ndio vilaza wa kwanza.