Wasifu wa "cheater" waujua?

Wasifu wa "cheater" waujua?

Hiyo no.12 ni kweli kabisa na yalinisibu mimi. Kipenzi changu alikuwa mtaalam sana wa ku pre empty. Ukiona unapewa hadithi ambayo haijakaa vizuri vizuri hivi, ujue tayari kuna kitu hapo
Kuna siku alibugi vibaya. amenipa hadithi ya ugomvi wa boss wake na mkewe jioni but asubuhi nikapigiwa simu na wife wa boss wake (huku akilia vibaya sana) kuwa mtu wangu anamharibia ndoa. Kumbe boss anamega kifaa changu!
Nilichoka kabisa! Ilibidi niachie ngazi
Laiti ningekuwa na roho ya kama Chai Chungu, ningepeleka mtu kule msituni na kumalizana nao.
 
user-online.png
wagaba hapo kwenye nyekundi hapana.........kisasi ni cha Muumba usimwingilie..........ila pole sana kwa masahibu yote yaliyokukuta dunia ni tambara bovu kabisa................
 
ulizotoa si sifa za cheaters asilani....

PLEASE COME AGAIN

TIMING ni za nani? Kama mwenzetu za cheater wazifahamu hebu tuelimishe tuelimike...........au ni kukosoa tu masuala ambayo huyafahamu?
 
No 12 ni dalili kubwa kupita zote.. Baadhi yetu tumecheat na twajijua tulivyokuwa tunahandle matters.
Shida ya majukwaa haya ya kiwavuti,wengi tunajifanya wastaarabu na wenye heshima sana..kifupi SI WAKWELI..tungekuwa tunasaidiana vizuri zaidi endapo tungekuwa just and fair kwa hizi topic.
 
trachomatis kuna kale kawimbo wape zao wakimeza, wakitema ni shauri yao.....................naamini hapa kwenye hili jamvi ndipo mahali pake........................pamoja na unafiki wetu na kujitia hayatuhusu lakini ujumbe unapenyeza taratibu kabisa...........na kufika kwa mkusudiwa..........lol
 
Yes mkuu Rutashubanyuma .. People are not honest at all... Tuendelee tu kupeana dozi lakini..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom