Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
once a cheater always a cheater hawaachagi hao....mie mtu huyo ananichokoa hasa roho yangu,sijui inakua ni hulka yake manake hata umfanyeje habadiliki....
Wasifu wa "cheater" waujua?
Mkuu no. 6,7 na 8 naona kama ndo zimetulia vile coz hayo yapo na yanatokea.
Big up kwakulijua hilo naamini itakuwa nafasi yangu sasa kumchek mwenzangu.
Mkuu Rutta,
Wengine hata huwa hatufuatilii hayo mambo kwa sababu hatutaki kujipa ugonjwa wa moyo...
Kila mtu bwana anamjua mwenzi wake...kuanzisha uchunguzi kama ICT bila sababu naona kama nikujiletea matatizo zaidi.
Tena ukizingatia kuwa, la kuvunda halina ubani!!
Babu DC!!