Wasifu wa Ally Salum Hapi

Wasifu wa Ally Salum Hapi

Hizi Tabia za kishamba sijui mtaendelea nazo mpaka lini!

Ni mtumishi ambae analipwa kutokana na kodi zetu sio dhambi kuomba CV yake kwa namna moja au nyingine sisi ni waajiri wake na hii Kinondoni ni yetu wote.
 
Kwani mimi ndiye niliomba wasifu wake au wewe? Soma post namba moja.

Unarusha?
Acha uma ng'aa kama huna tulia!
Huyo ni kiongozi, wasifu wake kuwekwa hadharani siyo dhambi/kosa!
Hayo mapovu unayotoa sijui kuna sehemu unahitaji kukunwa...!
 
Mbona mkiombwa ya yule mwenye Diploma ya hoteli Management hamleti tunaomba CV ya Lema
Afadhali umeshaniambia nilikuwa sijui jamaa ana diploma kibindoni. Samahani mleta mada naomba nimuulize kifuu, unaweza kunipa wasifu wa faiza foxy na mayalla maana hawaeleweki wako upande gani hasa
 
Msimfananishe Dc Hapi na Daudi Bashite watu wote waliosoma udsm 2008-2011 wanamfahamu Hapi
 
Kisa kafunga bar ilokuwa inajaza mashoga na machangu...tukosoe pale mtu anapokosea sio kilajambo. Hakuna bar yenye kibali cha kufanya biashara chafu,Kama mmiliki kashindwa kusafisha baa yake afungiwe mpaka atapoleta mkakati unaoeleweka wa kusafisha baa yake. Nawaagiza wakuu Wa wilaya kote nchini wasimamie hili!!
watetezi Wa ujinga wakidai vyeti/Cv waambieni waende kumwuliza aliyewateua.
Mkuu, hapa imeombwa cv ya mkuu wa wilaya. Hayo mambo ya kufunga bar unayajua wewe. Halafu unaposema kuwa cv za wateule akaulizwe aliyewateua....ataulizwaje iwapo yeye mwenyewe watu wanahoji uhalali wa PhD yake?
 
Msimfananishe Dc Hapi na Daudi Bashite watu wote waliosoma udsm 2008-2011 wanamfahamu Hapi
Sawa, ila kwa kuwa sasa ni public leader na kuna uwekano mkubwa akaendelea kupata exponsure zaid inabidi tupate wasifu wake tumjue zaidi hasa wale ambao hawakumjua hapo awali!
 
Huyu ndiye atakuwa mkuu mpya wa mkoa wa dar.
 
Mimi nabashiri, huyu jamaa lazima atakuwa ameungaunga....haiwezekani, yani hawa wateule wa raisi Magufuli ni majanga kwa kweli.
Miaka kadhaa iliyopita wakati anagombea UVCCM kuna mdau alitoa historia yake humu!! Kutokana na maelezo ya mdau, at least kwa wakati ule hakuwa shabiki wa Hapi hata chembe!

Kilichonifanya nisiisahau historia ile ni kwamba Hapi O-Level alisoma tech school (Bwiru Boys). Kama ujuavyo, tech hawasomi history!

Alipofanya mtihani wa Form IV jamaa akaharibu Physics kwahiyo akakosa selection na badala yake akaenda private school akasoma HKL! Remember, hapo kabla hakusoma history O-Level! Lakini pamoja na yote hayo, A-Level akaondoka na Div I Point IV.

Hili la mtu ambae aliikuta History A-Level na bado akaondoka na Point IV ndilo lililonifanya nisimsahau unless kama jamaa alidanganya though haionekani hivyo!
 
Back
Top Bottom