Mafunguo 88
Senior Member
- Dec 21, 2016
- 155
- 184
Ndio akili za wana ccm waliowengi
Mbona mkiombwa ya yule mwenye Diploma ya hoteli Management hamleti tunaomba CV ya Lema
Umeulizwa CV unaleta majungu...Kisa kafunga bar ilokuwa inajaza mashoga na machangu...tukosoe pale mtu anapokosea sio kilajambo. Hakuna bar yenye kibali cha kufanya biashara chafu,Kama mmiliki kashindwa kusafisha baa yake afungiwe mpaka atapoleta mkakati unaoeleweka wa kusafisha baa yake. Nawaagiza wakuu Wa wilaya kote nchini wasimamie hili!!
watetezi Wa ujinga wakidai vyeti/Cv waambieni waende kumwuliza aliyewateua.
Awekwe ubongo wa kuku mteteaMbona unatoa sana povu, au ni kwamba unahisi anatumbuliwa?
Kuhitaji cv haimaanishi hicho unachokiwaza wewe..
Unahitajiwa kufanyiwa vetting ya akili yako..
jina la mwisho nimekutana nalo kwenye orodha ya tcu wasio na sifa chuo fulani tawi mwanzamdgo wa daudi bashite
Alimaliza UDSM nwaka 2011.Nachojua jamaa amesoma sheria udsm kamaliza 2009 na alipata honourable degree mengine cjui
Kwani huwa ni ya nini?
Sasa kumbe majibu unayo...!Ya kupelekea posa.
Yap 2011Alimaliza UDSM nwaka 2011.
Akiwa amesoma sheria.
Aliwahi kuendesha mgomo na kumng'oa raisi wa udsm madarakaniYap 2011
Mkuu vita ya watumishi hewa na vilaza kwani inabagua?Hizi Tabia za kishamba sijui mtaendelea nazo mpaka lini!
Sasa kumbe majibu unayo...!
lema alichaguliwa na wananchi, huyu kateuliwa au kachaguliwa na mtu 1 tu,Mbona mkiombwa ya yule mwenye Diploma ya hoteli Management hamleti tunaomba CV ya Lema
Akakupose wewe...Kwa hiyo ulitaka aje kukuposa?