Wasifu wa Ally Salum Hapi

Kautafiti kangu kadogo kanao esha vijana wengi wa chadema wanaoomba CV hapa za watu mbalimbali...wao hata std 5 hawakufika.
Sasa kama hata std 5 hawakufika walijuaje kuna kitu kinaitwa CV..?
 
Amani kwa wote...
Natumaini huku wapo wajuvi wa mambo na wanaowajua vizuri viongozi tulionao na hata kuwa na wasifu sahihi wa hawa viongozi!
Mwenye wasifu wa huyu mkuu wa wilaya kinondon Ally Hapi atuwekee hapa tafadhali!!
tabia za kimama wema
 
Ali nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza mwanzon mwishoni mwa mwaka 2008, yeye alikuwa mwka wa 3 pale mlimani, na alikuwa mwanaharakati wa ukweli, alipambana kwa kila namna enzi za kina Odwangi..!ila alikuwa na mising na ukereketwa wa chama cha mapinduz...

ila pia ashawahi kugombea uenyekiti wa uvccm yeye na makonda, Ali alishika nafasi ya 2, makonda ya 3...

nyingne watakuwa wanaleta wadau wanayemfahamu, mm nimeweka kipande kidogo kwa namna ninavyomfahamu
 
Kisa kafunga bar ilokuwa inajaza mashoga na machangu...tukosoe pale mtu anapokosea sio kilajambo. Hakuna bar yenye kibali cha kufanya biashara chafu,Kama mmiliki kashindwa kusafisha baa yake afungiwe mpaka atapoleta mkakati unaoeleweka wa kusafisha baa yake. Nawaagiza wakuu Wa wilaya kote nchini wasimamie hili!!
watetezi Wa ujinga wakidai vyeti/Cv waambieni waende kumwuliza aliyewateua.
 
Kisa kafunga hoteli ilokuwa inajaza mashoga na machangu...tukosoe pale mtu anapokosea sio kilajambo. Hakuna bar yenye kibali cha kufanya biashara chafu,Kama mmiliki kashindwa kusafisha baa yake afungiwe mpaka atapoleta mkakati unaoeleweka wa kusafisha baa yake
mtoa mada domo zege alishazoea kwenda corner bar
 
Ivi kwa nn? Viongozi wetu na wenyewe wasiweke wasifu (curriculum vitae {CV}) wao katika Wikipedia maana mtu kumtafuta aieleweki inakuwa ngumu sana,
 
Ali nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza mwanzon mwishoni mwa mwaka 2008, yeye alikuwa mwka wa 3 pale mlimani, na alikuwa mwanaharakati wa ukweli, alipambana kwa kila namna enzi za kina Odwangi..!ila alikuwa na mising na ukereketwa wa chama cha mapinduz...

ila pia ashawahi kugombea uenyekiti wa uvccm yeye na makonda, Ali alishika nafasi ya 2, makonda ya 3...

nyingne watakuwa wanaleta wadau wanayemfahamu, mm nimeweka kipande kidogo kwa namna ninavyomfahamu
Mkuu hata mm nilipojiunga UDSM nilimkuta jamaa, lile sakata la KIPARA alikua anaongoza pale level square
 
Kisa kafunga bar ilokuwa inajaza mashoga na machangu...tukosoe pale mtu anapokosea sio kilajambo. Hakuna bar yenye kibali cha kufanya biashara chafu,Kama mmiliki kashindwa kusafisha baa yake afungiwe mpaka atapoleta mkakati unaoeleweka wa kusafisha baa yake. Nawaagiza wakuu Wa wilaya kote nchini wasimamie hili!!
watetezi Wa ujinga wakidai vyeti/Cv waambieni waende kumwuliza aliyewateua.
Kuomba cv ni kukosoa.??
Cv yake haihusiani na maagizo yake ya kufunga baa, acha ushabiki uchwara!
 
Ali nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza mwanzon mwishoni mwa mwaka 2008, yeye alikuwa mwka wa 3 pale mlimani, na alikuwa mwanaharakati wa ukweli, alipambana kwa kila namna enzi za kina Odwangi..!ila alikuwa na mising na ukereketwa wa chama cha mapinduz...

ila pia ashawahi kugombea uenyekiti wa uvccm yeye na makonda, Ali alishika nafasi ya 2, makonda ya 3...

nyingne watakuwa wanaleta wadau wanayemfahamu, mm nimeweka kipande kidogo kwa namna ninavyomfahamu
Pamoja mkuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom