Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Umezuka utata nchini Tanzania baada ya Wizara ya Elimu kusema watu watakaoweza kujiunga na Chuo Kikuu ni wale tu waliofaulu Kidato cha Sita. Naibu Waziri wa Elimu Tanzania, Stella Manyanya, anafafanua tamko hilo katika Kinagaubaga. www.wbca.st/k6dFuw
 
Nje ya nchi master degree ni mwaka mmoja , ndani ya nchi ni 18 months, hakuna masters ya miaka 2
 
Kwa hiyo mnavosemaga wachaga hivi au mhaya vile mbona huwa sioni comments za mazingira mtu aliyokulia but general?
Tu generalize na hili kabila pia, 75% tabu tupu.
Kingine nikuongezee waha na manyema, hawa nyumbishi kwenye haki wanajua kuidai na kuisimamia. Hilo vinyongo wanalo ukiwachokoza kwa kweli ni hatari..... maana mtafuatiliana kwa muda mrefu. Khs Mungu apishe mbali ww huna uwezo wa kumkatalia hata soudy brown ha ha ha natania [HASHTAG]#Acha[/HASHTAG] ukabila.
 
Waha ni nature, na vinyongo ndo wenyewe.

Don't assume. Waha wana roho mbaya, wachawi, vinyongo ndo penyewe. Ubishi ndo balaa!

Very likely!
Ukifika Chigoma ndiyo utajua kweli huyu dada Kalumanzila ana roho gani! Ukikuta sehemu haina maendeleo ujue hapo ni mambo 2: ROHO MBAYA na UCHAWI! Sasa changanya chemicals za ROHO MBAYA+ UCHAWI+POMBE+MAGUFULI+NDALICHAKO=MLIPUKO WA UMASKINI+UJINGA!!!
 
mchepuko wa Uzi,
kutoka kwenye CV ya waziri mpaka roho za waha!!!!

Back to Jambo Forum
 
Hata kama kichwa au miguuu anajua mwenyewe.Cha kujiuliza hajawah kufundishwa na lecturers wasiopitia kidato cha sita?
 
Mkuu umesifia hadi umejisahau...
 
Ndailichaku kama unakabint nakataka sana nikaweke ndan niwe mkwe tafadhar niko serius! hapo mkopo utanipa 2 hk n kibwagzo cha kumpata mtoto,hasa kama anachura itapendeza sana 2plia mbal cv yako!
 
Kuona cv ya mtu hasa viongozi wetu ni vyema zaidi maana zinatuispire kujituma kusoma na kutambua exposure zingine. Hata hivyo sidhani kama ni vyema kutukanana kama watu wasioelimika ni vitu vya kuelimishana tu .sasa hpa nimeambulia tu matusi kimsingi nilitamani kuona mtu anayemjibu huyu jamaa aliyeomba cv ya mheshimiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…