Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,798
- 4,857
Elimu bora Tanzania si kwa degree holders pekee kuna mambo mengi tunayahitaji kuboresha elimu yetu na si kukomaa kwa kuweka visiki ndo hapo tafsiri inakuja kuwa Kama roho mbaya ni dhahri mwafrika Kama mwafrika akifika level Fulani hatamani wenzie wafike na ndo maana maprofesa wa kiafrika hapo nyuma walikiwa na sifa ya kufelisha Kama nchi inabidi tujitafakali kwa nini kila tatizo linatatuliwa kwa matamko ya wanasiasa badala ya wadau wote na hasa wataalamu wa research .. unaamini sisi tuna mwarobaini kuliko waanzilishi wa elimu rami wenyewe ambao wakipanda sisi tunashuka?Hajafuta diploma to degree umemuelewa vibaya kiongozi na wala CV yake hapo haihusiki
Kama umesoma diploma kwa ufaulu mdogo kidato cha nne hutaruhusiwa kusoma degree hadi upate alama zitakazo kuwezesha kusoma degree
Mi nadhani anasimamia viwango vya ubora wa elimu
Haiingii akilini una division 4 alafu una degree haviendani kabisa
Kaitafute kwenye website ya Bunge. Hakuna mtu anataka kesiWana jamvi
Kutokana na matamko ya Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako haswa katika sekta ya elimu kama vile "moja la sifa za kujiunga chuo kikuu lazima uwe na form six pass" na sio equivalent, kwa maana umesoma foundation course ya Open university, certificate ukachukua Diploma halafu unaenda chuo kikuu, hili lina lengo baya sana katika kuthibiti idadi ya wanafunzi kwenda vyuo vikuu, aidha kupandisha GPA sasa mi naomba kama kweli alikuwa na sifa zote hizo mpaka akafika hapo mwenye cv yake aiweke tuijadili kwa manufaa ya elimu yetu, ina maana sasa ukiishia form form maana yake ndoto ya degree futa , au ukiwa na diploma futa ndoto za degree sasa sijui tunatengeneza kitu gani hakyamungu, na hivi ni kweli watu wote hawakupitia hatua hizo? kwa maana wote walipita form six wakapata degree?? masikini Tanzania yetu daaaah
Kwa mwendo huu naona muha akintungua hata JPMMagufuli anasubir pale
Nimecheka sana,hivi Ndalichako maana yake nini?kirefu cha maneno hayo
T.O yaan TANZANIO OVYO
PHD yaan papa hazai dagaa
Siyo pekee yake mkuu ni familia yake nzima yaani Ni zaid ya ujuavyo ni Vichwa balsaYule Mama nilikuwa namchukulia poa Sana kumbe alikuwa kipanga
Wataalam sayansi na hisabati wa hapa bongo kazi yao ni kuhakiki vyeti feki na wanafunzi hewa,nakubuni buni mambo ya hovyo hovyo kama haya.tunasifiaga ujinga,To,to bongo!!!magumashi tu.Wataalam wa sayansi na hisabati tulishawazika,km. akina Newton,Avogadro,Faraday,Arrhenius,N.k wengine ni maboga tu.
Elimu yetu MSINGI wake ni wakoloni. Ili usitiliwe shaka na wewe kariri kama wenzio! Unaposhindwa kukalili ndiyo hapo unapohukumiwa kuwa hufai.Kuna watu wanapata four olevel afu wanapiga certificate mpaka degree ufaulu unakua wa hali ya juu sana olevel elimu ya kukalili iyo isifanye mtu kukosa degree kama certificate na diploma ana first class
hahahaahahaah poleee wame kutenda nini.... mimi muhaMi siko kuchangia cv ya huyo Ndalichako! Hanihusu simhusu apite kushoto.
Niko kuchangia comment moja ya waha &
God Forbid!
Sitaki muha hata wa awe na hela kuliko jayz na beyonce!
Uwezo wako wakufikiria nakudhihak wasomi wa Taifa lako,utakua hata wazee wako hujawapa thamani.tunasifiaga ujinga,To,to bongo!!!magumashi tu.Wataalam wa sayansi na hisabati tulishawazika,km. akina Newton,Avogadro,Faraday,Arrhenius,N.k wengine ni maboga tu.
Huyu mama alisoma s/msingi Karuta Kigoma ujiji,sekonfary o.level na A level Tabora wasichana,shahada ya kwanza udsm,akawa muhadhiri pale miaka miwili,akaenda kusoma nje,7bu ya uwezo wake wa akili alisoma masters mwaka mmoja badala ya miwili,akaendelea na PhD hukohuko,Wasifu wake kwa ukamilifu nitawaletea baadae,
Hivyo ana intellectual arrogance
Uwezo wako wakufikiria nakudhihak wasomi wa Taifa lako,utakua hata wazee wako hujawapa thamani.
Wewe ni muongo !Usituhukumu bure. WAHA TUNA AKILI SANA. NIKIKUONYESHA PERFORMANCE YANGU SHULENI UTAKIMBIA.
NINACHOJUA KUHUSU DADANGU NDALICHAKO NI KUWA "ALIFELI FORM SIX PALE TABORA GIRLS SECONDARY SCHOOL"! SASA KUHUSU ALIVYOENDELEA MIMI SIKUFUATILIA.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuwa na akili na kuwa na uwezo wa masomo darasani.Ivi kuwa T.O mara kumi ni kuonyesha kwamba unaakili za maisha au ni bingwa wa kukren
Maana kuna maamuzi mengne anayafanya hayaonyesh uo UT.O PHD WALA MASTERS
MNISAMEHE NASEMA IVI NNA MDOGO WANGU YATIMA KANYIMWA MKOPO
Siyo Management and Evaluation mkuu ni Measurement na Evaluation.Kwa Taarifa za Uhakika.. Prof Joyce Ndalichako tokea shule ya msingi ni wa kwanzaaaa.. akawa Ndani ya Tanzania One.. Amepata mascholaship mpaka ikapelekea Ndoa yake kuvunjika Maana mume alichoka kusubiri mama NA vitabu. Akaulizwa chagua Elimu au Kitabu... Mama Akasema nachagua Kitabu.
Kichwani Yupo vizuri NA Ni Bulidoza Kwenye mambo ya Management and Evaluation. Kwa hiyo uliyeuliza Ndo ivyo. Na unaambiwa kipindi kile Akiwa Baraza la mitihani ilikuwa kukitokea wanafunzi kalalamika kuhusu matokeoo, yeye Alikuwa anaingia mwenyewe mzigoni.. Anatafuta mitihani yako NA anaisahisha upya.
Yaani Yupo Vizuri NA Sio mvivu. Wewe humuoni alivyo Shupavuu. Mwacheni aionyooooshe Elimu. Huna sifa unarudia. Shida IPO wapi? Hataki shortcuts.
Usikute ni kaka ake jesca huyu mikwara tu hanaloloteWewe ni muongo !
Labda uko kwenu kilwa masokoMajimarefu naye ni profesa
My opinion, doesn't have any thing to do with my life Sir! Mna roho mbaya na nishasema na ushahidi nnao, si mmoja. Zaidi ya 20! Hutaki, acha
Wale watoto St. Gaspare Berton Msolwa wameacha jina.Siyo pekee yake mkuu ni familia yake nzima yaani Ni zaid ya ujuavyo ni Vichwa balsa