Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

Chadema akili zenu fupi sana yaani mtu hata akiwa zuzu mtamwagia sifa zote ilimradi akija upande wenu,tatizo hata hamjiulizi kwa nini kaja kwetu mlivyo mazuzu
Kwahiyo unataka kusema hata Bashite akitaka kelele za kutumia cheti cha kukodi ziishe aende CHADEMA?
 
Jamani nchi watu wake tuna matatizo na nadhani ni mfumo wa elimu yetu.Aliyeanzisha uzi huu anauliza Cv Watu wanaleta mambo mengine au ndiyo ajira hizo za mtandaoni
 
Aiseee ni hatari sana Hongera mkuu Kuna kitu nimepata
 
Watakuja tena sijui tumerogwa sisi ngozi nyeusi
 
Mkuu umeandika kwa uchungu niliwahi kumwona akitoa\ kuchangia mada kwenye kigoda chwa Mwl pale Nkurumah Hall ni hazina hizi propaganda za vijana wa mitandaoni ni mbaya zinaleta chuki kwa sababu wengi wao hawajakuzwa kwenye misingi ya haki,Uhuru na wajibu ni waoga wa fikra huru huu ni mtihani Mkubwa kwa jamii inayoshindwa kuhoji mambo kwa upana na maslai ya nchi yetu
 
Hawa wanaotoa lugha za matusi na kejeli ni watu wanaoonyesha uwezo wao wa kufikiri ulivyofinyu. Utawala wa Jamii Forums uangalie jinsi ya kudhibiti forum hii ili isitumike vibaya na hao wahuni.
 
Walipokikosoa chama tawala yeye Ulimwengu na Moulding Castiko mama wa visiwani Unguja "wakasingiziwa" Eti sio RAIA...wakati alishakua "Mbunge wa Taifa",miaka hio...
Kama alisingiziwa kwanini hajaenda mahakamani ? Mbona aliomba uraia kwa taratibu zilizopo na kupewa ? Tangu wakati huo akaanza kuikandia serikali kwa kila jambo ! Anachuki za kitusi !
 
Kama alisingiziwa kwanini hajaenda mahakamani ? Mbona aliomba uraia kwa taratibu zilizopo na kupewa ? Tangu wakati huo akaanza kuikandia serikali kwa kila jambo ! Anachuki za kitusi !
Unaonesha chuki zako zilivyodhahili
 
kujiuzulu ukuu wa wilaya pia kulichangiwa na Generali Ulimwengu kuhitilafiana mtazamo na waziri mkuu wa wakati huo Mh. John Samuel Malecela juu ya msimamo wake kuhusu vita dhidi ya rushwa. Generali Ulimwengu aliiponda hadharani hotuba ya PM Malecela juu ya mafanikio ya serikali ktk vita dhidi ya rushwa na hivyo Ulimwengu alituhumiwa kukosa CORRECTIVE LANGUAGE kama mtendaji wa serilkali (DC).
 
Hawa watoto hawajui, wamekalia ushabiki wa kivyama vyamA
 
Nasikia pia MADAM ana Degree 3 ndio maana viama vimemgombania....
 
Aliye mzalendo zaidi ya Ulimwengu na anyoshe kidole.

Ulimwengu kakataa dhuluma na baadhi ya watawala hawafurahii anachoandika na wakata kumwonyesha nani ni zaidi.
 
Ulimwengu ni moja wapo ya vichwa vichache nnavyo vielewa sana.
 
Sasa akili ya J ulimwengu umeipimaje asee? Unaweza kutuambia Intelligence Quetient ni ngapi? Hvi watu wanaweza kukuvua uraia from no where tu mbona upinzani hawavuliwa? Kama umzawa huna haja ya kujieleza Sana Eti kuonesha uzawa wa eneo fulani, Ulimwengu sio mtanzania hutaki andamana
 
Twaha Ulimwengu ni bidha adimu,na itachukua kalne mmoja kupata mtu sampuli hii.Hataki quick fix,ila anataka binadamu ajitambue kabla ya kufungua mdomo auganishe ubongo wake kwaza,mimi siyo Mark Antony ila ujumbe umefika.


MASHAKA YANGU ISIJE IKAWA NI WALEWALE KINA NYAUCHO NA MZEE WA KIRARACHA, USONI WAPINZANI , MOYONI DAMU INA RANGI YA KIJANI ,MISHIPA ILIYOSHIKA MOYO NI JEMBE NA NYUNDO, HASA UKITILIA MAANANI NI MFUASI MAKINI WA HAYATI BABA YETU MZEE WA MITONGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…