Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Lazima nimpe kura yangu ya ndiyo nguli na msomi aliyebobea Dr Magufuli. Haijawahi tokea afrika mashariki kuwa na rais msomi mwenye Doctor of Philosophy (Ph.D). Kwa msiojua maana yake ulizeni.

Kama Magufuli akiwa rais japo kwa magumashi atakuwa rais wa kwanza afrika ya mashariki kuwa rais mbumbumbu wa lugha ya kiingereza hivyo watu kutilia mashaka uhalali wa udokta wake!
 
msomi hata kuongea kingereza kwa dk 20 hawezi......amezoea kukariri tuuuu
 
[h=4]
12106949_1335880589759689_1485520958137819000_n.jpg
[/h]John Pombe Magufuli, mgombea urais kupita Chama cha Mapinduzi, kitaaluma ni mwalimu na mtalaamu wa Kemia.
Alizaliwa Oktoba 29 mwaka 1959 huko Chato mkoani Kagera, Kaskazini magharibi mwa Tanzania.

Magufuli alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi huko huko Chato, mkoani Kagera kuanzia mwaka 1967 hadi 1975 na baadaye akajiunga na shule ya sekondari ya Lake iliyoko Mwanza mwaka 1977 hadi 1978.

Kiongozi huyo alijiunga na chuo cha ualimu cha Mkwawa kilichoko Iringa, Kusini mashariki mwa Tanzania kati ya mwaka 1979 na 1982 ambapo alitunukiwa Stahahada ya Ualimu.
Baada ya kufuzu, alifundisha masomo ya hisabati na kemia katika shule mbalimbali za sekondari kuanzia mwaka 1983.
Magufuli hakuishia hapo kielemu kwani aliamua kujiendeleza zaidi na kujiunga na chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1985 hadi 1988 ambapo alitunukiwa shahada ya ualimu katika masomo ya kemia na hisabati.
Baadaye, aliamua kukolea katika kemia na akarejea chuoni na kusoma hadi ngazi ya udaktari.

[h=2]Siasa za Tanzania[/h]Katika siasa za Tanzania, Magufuli mwanzoni hakujulikana sana, hadi nyota yake ya kisiasa ilipoanza kung’aa pale alipogombea na kushinda ubunge eneo la Chato mwaka 1995.
Mwaka huo huo aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi na baadaye akapanda ngazi hadi kuwa waziri kamili, nafasi aliyoishikilia hadi hivi sasa.
Kwa mujibu wa majirani wanaoishi karibu na nyumba yake jijini Dar es Salaam, yeye ni mtu anayeishi maisha ya kawaida.
Wakati watoto wa baadhi ya viongozi wakisoma shule za hali ya juu watoto wake wamesoma katika shule za kawaida.
Tofauti na uchaguzi uliopita ambapo chama cha CCM hakikukabiliwa na upinzani mkali, Magufuli anakabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa mgombea wa upinzani Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa.
Bw Lowassa anagombea kupitia chama cha upinzani cha CHADEMA, akiwakilisha muungano usio rasmi wa vyama vinne vya upinzani unaojulikana UKAWA.

[h=2]Elimu[/h]2006 – 2009: PhD (Kemia ); Chuo Kikuu cha Dar es salaam
1991 – 1994: Msc. (Kemia); Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Tanzania na Chuo Kikuu cha Salford, Uingereza
1985 – 1988: Shahada ya kwanza katika Ualimu (Kemia na Hisabati);Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
1981 – 1982: Diploma ya Ualimu masomo ya Sayansi; Chuo cha Ualimu cha Mkwawa Masomo makuu Kemia, Hisabati na Ualimu.
1979 – 1981: Kidato cha tano na sita, Shule ya Upili ya Mkwawa, Iringa
1977 – 1978: Elimu ya sekondari, Shule ya upili ya Lake, Mwanza
1975 – 1977: Katoke Seminary, Biharamulo, Kagera
1967 – 1974: Shule ya Msingi, Shule ya Msingi Chato – Kagera

[h=2]Mafunzo ya kijeshi[/h]Machi 1984 – Juni 1984: Jeshi la Kujenga Taifa Mpwapwa – Dodoma
Januari 1984 – Machi 1984: Jeshi la Kujenga Taifa Makuyuni– Arusha
Julai 1983 – Desemba 1983: Jeshi la Kujenga Taifa Makutupora – Dodoma.
 
attachment.php

attachment.php

Dk. John Pombe Joseph Magufuli, alizaliwa Oktoba 29, 1959 wilayani Chato – wakati huo ikiwa Mkoa wa Kagera (sasa Mkoa wa Geita).
Ana Shahada ya Uzamivu ya Kemia (2006 – 2009) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Mwaka 1991 – 1994, alisoma Shahada ya Uzamili (Kemia) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na baadaye Chuo Kikuu cha Salfordnchini Uingereza.

Mwaka 1985 – 1988, alisoma Shahada ya Kwanzaya Elimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua masomo ya Kemia na Hisabati.

Mwaka 1981 – 1982, alisoma diploma katika Chuo cha Mkwawa akichukua masomo ya Kemia na Hisabati.
Mwaka 1979 – 1981, alipata elimu ya juu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Mkwawa, Iringa.
Mwaka 1977 – 1978, alisoma elimu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Lake, Mwanza.
Mwaka 1975 – 1977, alisoma Shule ya Msingi Katoke, Biharamulo mkoani Kagera.
Mwaka 1967 – 1974, alisoma Shule ya Msingi, Chato.

Mafunzo
Machi 1984 – Juni 1984 alihudhuria mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mpwapwa mkoani Dodoma.

Januari 1984 – Machi 1984 alikuwa JKT Makuyuni, Arusha.
Julai 1983 – Desemba 1983 alikuwa JKT Makutupora, Dodoma.

Uzoefu wa kazi
Mwaka 2010 – hadi sasa: Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Chato.
Mwaka 2008 – 2010: Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Samaki; Mbunge wa Biharamulo Mashariki (Chato).

Mwaka 2005 – 2008: Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; na Mbunge wa Biharamulo Mashariki (Chato)

Mwaka 2000 – 2005: Waziri wa Ujenzi, na Mbunge wa Biharamulo Mashariki.
Mwaka 1995 – 2000: Naibu Waziri wa Ujenzi; na Mbunge wa Biharamulo Mashariki.
Mwaka 1989 – 1995: Mkemia Chama cha Ushirika cha Nyanza Cooperative Union (Ltd.), Mwanza.

Mwaka 1982 – 1983: Mwalimu Shule ya Sekondari Sengerema (akifundisha masomo ya Kemia na Hisabati).

Dk. Magufuli amepata tuzo mbalimbali za ndani na nje ya nchi. Ameshiriki na kuongoza mikutano mingi ya kitaifa na kimataifa.

Ameandika vitabu na majarida mbalimbali. Ameoa na ana watoto kadhaa.

ameoa na ana watoto kadhaa... ????????? kazi kweli kweli,, kama hamjui idadi kamili mnaweza kuandika x+
 
Hiyo ndo tinga tinga atakayehamia magogoni tokea 25 ...Hapa kazi tu
 
mkuu ipo sawa hapo kwenye shule ya msingi amessoma kwa miaka 17 ,unaweza ukaweka wazi hapa darasa la kwanza hadi saba kwa miaka hiyo ni mingi mno
 
Alishafundisha Sengerema Sec school. Je mnajua kwa nini aliacha?
 
WanaJF, salaam!

Bila shaka kila mmoja anafahamu kuwa ukanda wa mkoa wa Geita, Shinyanga na Kagera ni mahali ambako kumejaliwa madini ya dhahabu, almasi, bati, nickel na madini mengine. Lakini pia katika pitapita zangu sijakuta mahali popote ambako Dkt. Magufuli John Pombe akiwatetea wananchi wanaojishughulisha na uchimbaji wa madini. Mkoa wake tu wa Geita bado hajausimamia vizuri ili wananchi wanufaike na dhahabu inayochimbwa. Vile vile kwa Kahama - Buzwagi, Ngara - Nickel na maeneo mengi.

Nachojiuliza ni iwapo kabla hatujampa urais hakuweza kutetea maslahi ya wananchi wake kwenye issue ya madini JE, ataweza vipi kuwasimamia wananchi akiwa na majukumu mengi na safari nyingi za nje ya nchi?
 
Dk. John Pombe Joseph Magufuli, alizaliwa Oktoba 29, 1959 wilayani Chato ? wakati huo ikiwa Mkoa wa Kagera (sasa Mkoa wa Geita).
Ana Shahada ya Uzamivu ya Kemia (2006 ? 2009) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mwaka 1991 ? 1994, alisoma Shahada ya Uzamili (Kemia) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na baadaye Chuo Kikuu cha Salfordnchini Uingereza.
Mwaka 1985 ? 1988, alisoma Shahada ya Kwanzaya Elimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua masomo ya Kemia na Hisabati.
Mwaka 1981 ? 1982, alisoma diploma katika Chuo cha Mkwawa akichukua masomo ya Kemia na Hisabati.
Mwaka 1979 ? 1981, alipata elimu ya juu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Mkwawa, Iringa.
Mwaka 1977 ? 1978, alisoma elimu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Lake, Mwanza.
Mwaka 1975 ? 1977, alisoma Shule ya Msingi Katoke, Biharamulo mkoani Kagera.
Mwaka 1967 ? 1974, alisoma Shule ya Msingi, Chato.
Mafunzo
Machi 1984 ? Juni 1984 alihudhuria mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mpwapwa mkoani Dodoma.
Januari 1984 ? Machi 1984 alikuwa JKT Makuyuni, Arusha.
Julai 1983 ? Desemba 1983 alikuwa JKT Makutupora, Dodoma.
Uzoefu wa kazi
Mwaka 2010 ? hadi sasa: Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Chato.
Mwaka 2008 ? 2010: Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Samaki; Mbunge wa Biharamulo Mashariki (Chato).
Mwaka 2005 ? 2008: Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; na Mbunge wa Biharamulo Mashariki (Chato)
Mwaka 2000 ? 2005: Waziri wa Ujenzi, na Mbunge wa Biharamulo Mashariki.
Mwaka 1995 ? 2000: Naibu Waziri wa Ujenzi; na Mbunge wa Biharamulo Mashariki.
Mwaka 1989 ? 1995: Mkemia Chama cha Ushirika cha Nyanza Cooperative Union (Ltd.), Mwanza.
Mwaka 1982 ? 1983: Mwalimu Shule ya Sekondari Sengerema (akifundisha masomo ya Kemia na Hisabati).
Dk. Magufuli amepata tuzo mbalimbali za ndani na nje ya nchi.
Ameshiriki na kuongoza mikutano mingi ya kitaifa na kimataifa.
Ameandika vitabu na majarida mbalimbali.

Kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata rais mwenye PhD.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom