Gwesefe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 682
- 382
Lazima nimpe kura yangu ya ndiyo nguli na msomi aliyebobea Dr Magufuli. Haijawahi tokea afrika mashariki kuwa na rais msomi mwenye Doctor of Philosophy (Ph.D). Kwa msiojua maana yake ulizeni.
Mbona anaemaliza muda wake ni Profesa? Au unataka kutuambia dr. ni zaidi ya profesa?