james chapacha
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 939
- 200
Isje ikawa u-Dr wake kwa remy ongala
Lazima nimpe kura yangu ya ndiyo nguli na msomi aliyebobea Dr Magufuli. Haijawahi tokea afrika mashariki kuwa na rais msomi mwenye Doctor of Philosophy (Ph.D). Kwa msiojua maana yake ulizeni.

Kama mlitaka Rais msomi si mngemchukua Prof. Mwandosya? Maana yule anafahamika kuwa ni kichwa. Na hata mngemtosa, bado kuna Prof. Muhongo.Lazima nimpe kura yangu ya ndiyo nguli na msomi aliyebobea Dr Magufuli. Haijawahi tokea afrika mashariki kuwa na rais msomi mwenye Doctor of Philosophy (Ph.D). Kwa msiojua maana yake ulizeni.
Lazima nimpe kura yangu ya ndiyo nguli na msomi aliyebobea Dr Magufuli. Haijawahi tokea afrika mashariki kuwa na rais msomi mwenye Doctor of Philosophy (Ph.D). Kwa msiojua maana yake ulizeni.
Lazima nimpe kura yangu ya ndiyo nguli na msomi aliyebobea Dr Magufuli. Haijawahi tokea afrika mashariki kuwa na rais msomi mwenye Doctor of Philosophy (Ph.D). Kwa msiojua maana yake ulizeni.
profesa kikweteLazima nimpe kura yangu ya ndiyo nguli na msomi aliyebobea Dr Magufuli. Haijawahi tokea afrika mashariki kuwa na rais msomi mwenye Doctor of Philosophy (Ph.D). Kwa msiojua maana yake ulizeni.