Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Pata wasifu wa Rais mtarajiwa, John Pombe Magufuli, baadhi ya matukio akitekeleza majukumu yake kama waziri na kwanini watu wanatamani kuona anakuwa rais wa Tanzania.
[video=youtube_share;eHV8tZHU27Q]http://youtu.be/eHV8tZHU27Q[/video]
 
MFAHAMU MAGUFULI
Dk. John Pombe Joseph Magufuli, alizaliwa Oktoba 29, 1959 wilayani Chato. Amezaliwa katika familia ya mkulima wa pamba na ufugaji.
ELIMU
Mwaka 1967 – 1974 alisoma Shule ya Msingi, Chato.
Mwaka 1975 – 1977 alisoma Shule ya Msingi Katoke, Biharamulo mkoani Kagera.
Mwaka 1977 – 1978 alisoma elimu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Lake Mkoani Mwanza
Mwaka 1979 – 1981 alipata elimu ya juu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Mkwawa, Iringa
Mwaka 1981 – 1982 alisoma diploma katika Chuo cha Mkwawa akichukua masomo ya Kemia na Hisabati
Mwaka 1982 – 1983: Mwalimu Shule ya Sekondari Sengerema (akifundisha masomo ya Kemia na Hisabati)
Mwaka 1985 – 1988, alisoma Shahada ya Kwanzaya Elimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua masomo ya Kemia na Hisabati
Mwaka 1991 – 1994, alisoma Shahada ya Uzamili (Kemia) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na baadaye Chuo Kikuu cha Salford nchini Uingereza
Alisoma Shahada ya Uzamivu ya Kemia (2006 – 2009) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
MAFUNZO
Julai 1983 – Desemba 1983 alikuwa JKT Makutupora, Dodoma. Januari 1984 – Machi 1984 alikuwa JKT Makuyuni, Arusha. Machi 1984 – Juni 1984 alihudhuria mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mpwapwa mkoani Dodoma.
UZOEFU
Mwaka 1989 – 1995: Mkemia Chama cha Ushirika cha Nyanza Cooperative Union (Ltd.), Mwanza
Mwaka 1995 – 2000: Naibu Waziri wa Ujenzi; na Mbunge wa Biharamulo Mashariki.
Mwaka 2000 – 2005: Waziri wa Ujenzi, na Mbunge wa Biharamulo Mashariki.
Mwaka 2005 – 2008: Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; na Mbunge wa Biharamulo Mashariki (Chato).
Mwaka 2008 – 2010: Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Samaki; Mbunge wa Biharamulo Mashariki (Chato).
Mwaka 2010 – hadi sasa: Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Chato.
Dk. Magufuli amepata tuzo mbalimbali za ndani na nje ya nchi. Ameshiriki na kuongoza mikutano mingi ya kitaifa na kimataifa. Ameoa na ana watoto kadhaa.
Ameandika vitabu na majarida mbalimbali kama vile:
Mulokozi A. M.; Akwilapo, L.D.: Buchweishaija, J.; Magufuli J. P., and Kyobe, J. Securing the Mechanism of the Decomposition of CaCO3 by the Thermodynamics of the Reaction, East and Southern Africa Environmental Chemistry Workshop, pp 71-83, 1st 5th December 2003, Dar es Salaam
Magufuli, J. P., Funding requirements for the EAC Road network project the East African Community Roads Development partners Consultative meeting 29th 30th April, 2003 Arusha Tanzania.
Magufuli, J. P., (MP) PIARC First Delegate and Minister for Works of the United Republic of Tanzania. Access to Mobility a basic Social Service, Special Trunk Roads project, Design and Build Tanzania model, XXIInd World Road Congress, 19 25 October, 2003 Durban, South Africa.
Mulokozi, A. M., Kyobe, Magufuli, J. P. and R. Whitehead. A New Rate Equation for Solid State Decompositions and its application to the Decomposition of CaCo3. TCS Inaug. Conf. Proc., 11-16 July, 1999, p162-183.
Magufuli, J. P., Background of the Mtwara Development Corridor, Meeting of the head of States from Malawi, Tanzania, Zambia and Mozambique during the Rounding of the Mtwara Development Corridor, 15 December, 2004, Lilongwe Malawi.
NAOMBA KURA YAKO KWA DK. MAGUFULI OKTOBA 25.
 
SAfi sana Hapa kazi tu check experience alionayo ni kubwa sana tena mno sasa kazi kwenu, kwani anaujua uchungu wa waalimu,wafugaji na anajua ujenzi na umuhimu wa elimu anaujua na ajira anajua jinsi zilivyo kazi jamani MAGUFULI NDIO RAIS WETU
 
Nimependa cv ya Rais mtarajiwa na kwa uwezo alionao , na ahadi zake za viwanda na ajira anatosha kutekela kwa dhati kabisa sasa leo nimeamini. kauli yake #Sita Waangusha na #Hapa Kazi Tu.
 
tunamfahamu a.h.mwinyi
tunamfahamu b.w.mkapa
tunamfahamu j.m.kikwete.(
ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpaya-maisha bora kwa kila mtanzania)

ccm tuanifahamu!!----(ccm ni ile ile, mbele kwa mbele)

magufuli ndio nani??
 
mfahamu magufuli
dk. John pombe joseph magufuli, alizaliwa oktoba 29, 1959 wilayani chato. Amezaliwa katika familia ya mkulima wa pamba na ufugaji.
Elimu
mwaka 1967 – 1974 alisoma shule ya msingi, chato.
Mwaka 1975 – 1977 alisoma shule ya msingi katoke, biharamulo mkoani kagera.
Mwaka 1977 – 1978 alisoma elimu ya sekondari katika shule ya sekondari lake mkoani mwanza
mwaka 1979 – 1981 alipata elimu ya juu ya sekondari katika shule ya sekondari mkwawa, iringa
mwaka 1981 – 1982 alisoma diploma katika chuo cha mkwawa akichukua masomo ya kemia na hisabati
mwaka 1982 – 1983: Mwalimu shule ya sekondari sengerema (akifundisha masomo ya kemia na hisabati)
mwaka 1985 – 1988, alisoma shahada ya kwanzaya elimu katika chuo kikuu cha dar es salaam akichukua masomo ya kemia na hisabati
mwaka 1991 – 1994, alisoma shahada ya uzamili (kemia) katika chuo kikuu cha dar es salaam, na baadaye chuo kikuu cha salford nchini uingereza
alisoma shahada ya uzamivu ya kemia (2006 – 2009) kutoka chuo kikuu cha dar es salaam.
Mafunzo
julai 1983 – desemba 1983 alikuwa jkt makutupora, dodoma. Januari 1984 – machi 1984 alikuwa jkt makuyuni, arusha. Machi 1984 – juni 1984 alihudhuria mafunzo ya jeshi la kujenga taifa (jkt), mpwapwa mkoani dodoma.
Uzoefu
mwaka 1989 – 1995: Mkemia chama cha ushirika cha nyanza cooperative union (ltd.), mwanza
mwaka 1995 – 2000: Naibu waziri wa ujenzi; na mbunge wa biharamulo mashariki.
Mwaka 2000 – 2005: Waziri wa ujenzi, na mbunge wa biharamulo mashariki.
Mwaka 2005 – 2008: Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi; na mbunge wa biharamulo mashariki (chato).
Mwaka 2008 – 2010: Waziri wa maendeleo ya mifugo na samaki; mbunge wa biharamulo mashariki (chato).
Mwaka 2010 – hadi sasa: Waziri wa ujenzi na mbunge wa chato.
Dk. Magufuli amepata tuzo mbalimbali za ndani na nje ya nchi. Ameshiriki na kuongoza mikutano mingi ya kitaifa na kimataifa. Ameoa na ana watoto kadhaa.
Ameandika vitabu na majarida mbalimbali kama vile:
Mulokozi a. M.; akwilapo, l.d.: Buchweishaija, j.; magufuli j. P., and kyobe, j. Securing the mechanism of the decomposition of caco3 by the thermodynamics of the reaction, east and southern africa environmental chemistry workshop, pp 71-83, 1st 5th december 2003, dar es salaam
magufuli, j. P., funding requirements for the eac road network project the east african community roads development partners consultative meeting 29th 30th april, 2003 arusha tanzania.
Magufuli, j. P., (mp) piarc first delegate and minister for works of the united republic of tanzania. Access to mobility a basic social service, special trunk roads project, design and build tanzania model, xxiind world road congress, 19 25 october, 2003 durban, south africa.
Mulokozi, a. M., kyobe, magufuli, j. P. And r. Whitehead. A new rate equation for solid state decompositions and its application to the decomposition of caco3. Tcs inaug. Conf. Proc., 11-16 july, 1999, p162-183.
Magufuli, j. P., background of the mtwara development corridor, meeting of the head of states from malawi, tanzania, zambia and mozambique during the rounding of the mtwara development corridor, 15 december, 2004, lilongwe malawi.
Naomba kura yako kwa dk. Magufuli oktoba 25.
okoa twiga kusafirishwa, uonevu kwa wastaafu, makato makubwa ya kodi kwenye mishahara ya wafanyakazi, ajira za upendeleo, katiba ya chenge na sitta, vyeo vya kulipana fadhila, meno ya tembo, gesi, madini na rasilimali nyinginezo, kwa kuikataa ccm.

Ccm ni lazima iondoke sasa.
 
Okoa twiga kusafirishwa, uonevu kwa wastaafu, makato makubwa ya kodi kwenye mishahara ya wafanyakazi, ajira za upendeleo, katiba ya chenge na sitta, vyeo vya kulipana fadhila, meno ya tembo, gesi, madini na rasilimali nyinginezo, kwa kuikataa ccm.

Ccm ni lazima iondoke sasa.
 
magufuli amepanda kwa kasi sana

okoa twiga kusafirishwa, uonevu kwa wastaafu, makato makubwa ya kodi kwenye mishahara ya wafanyakazi, ajira za upendeleo, katiba ya chenge na sitta, vyeo vya kulipana fadhila, meno ya tembo, gesi, madini na rasilimali nyinginezo, kwa kuikataa ccm.

Ccm ni lazima iondoke sasa.
 
Magufuli amepanda kwa kasi sana

SAfi sana Hapa kazi tu check experience alionayo ni kubwa sana tena mno sasa kazi kwenu, kwani anaujua uchungu wa waalimu,wafugaji na anajua ujenzi na umuhimu wa elimu anaujua na ajira anajua jinsi zilivyo kazi jamani MAGUFULI NDIO RAIS WETU

Nimependa cv ya Rais mtarajiwa na kwa uwezo alionao , na ahadi zake za viwanda na ajira anatosha kutekela kwa dhati kabisa sasa leo nimeamini. kauli yake #Sita Waangusha na #Hapa Kazi Tu.

Kama wewe mwenyewe hujaenda shule, hutaweza kujua cv nzuri na mbaya. Ktk haya ya Magufuli ni nini kilichokupa msimamo wa kusifu Cv? Elimu ya msingi? Sekondari? Chuo kikuu? Masta ya sayansi? Au nini? Kumbuka mpaka kwenye masta, sasa hivi TZ ina watu wanaokadiliwa kufikia laki 9 wenye masta.

Nafasi anayoomba ni ya kisiasa. Ukiangalia cv hiyo haina kabisa mambo ya kisiasa. Hii ni cv inayofaa kuombea nafasi ya kufundisha chuo fulani cha kati. Akiomba kufundisha chuo kikuu, atapewa cheo cha pili toka chini maana hana machapisho ya kitaaluma.

Kweli unaweza ukaweka hata title ya jina la mradi wa barabara kwamba nalo ni chapisho? We Michelle lymo, vipi?
 
Kweli wajinga hawaishi!mleta mada ni kiazi
 
Lazima nimpe kura yangu ya ndiyo nguli na msomi aliyebobea Dr Magufuli. Haijawahi tokea afrika mashariki kuwa na rais msomi mwenye Doctor of Philosophy (Ph.D). Kwa msiojua maana yake ulizeni.

Mimi sijui, hivi Doctor of Philosophy ama Doctorate ndio inakuwaje? Ina nini hasa ambacho ni unique?
 
hahahaha, ulisikia kile kingereza chake dah, nilicheka sana, sijui ninani alimwandikia dissertation yake. isiwe kama ile ya mke wa Mugabe aliyo soma na kumaliza ndani ya mwezi mmoja.
 
Msomi asiyejua kingereza.

Watanzania tutajuta huyu jamaa akiwa rais , atalifunga shrika la tenesco tuish kwa vibatar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom