Wasifu(CV) wa Tundu Lissu

Wasifu(CV) wa Tundu Lissu

Hii ndio CV (curriculum vitae) ya kamanda Tundu Lissu

Full Name: Tundu Antiphas Mughwai Lissu

Member Type: Elected Member

Constituent: Singida Mashariki

Political Party: Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Office Location: Box 21746, Dar Es Salaam

Office Phone: +255 22 2780859/+255 754 447323/+255 786 572 571

Office E-mail: tlissu@parliament.go.tz

Date of Birth: 20 January 1968

EDUCATION

Mahambe Primary School:
CPEE (1976 - 1982) - Primary School

Galanos Secondary School:
ACSEE (1987 - 1989) - Secondary School

Ilboru Secondary School:
CSEE (1983 - 1986) - Secondary School.

University of Dar Es Salaam:
LLB (1991 - 1994) Bachelor's Degree

University of Warwick, UK:
LLM (1995 - 1996) - Masters Degree

EMPLOYMENT HISTORY
Member of The Parliament of Tanzania:Singida West Constituency (2010 - 2015)

Lawyers' Environmental Action Team (LEAT)😀irector of Researcher (2003 - 2008)

The World Resources Institute (WRI), USA:Researcher (1999 - 2002)

Lawyers' Environmental Action Team (LEAT) Researcher (1998 - 1999)

D'Souza Chambers:Advocate (1994 - 1997)

Bondeni Secondary School:Teacher (1990 - 1991)

POLITICAL EXPERIENCE
CHADEMA😀irector of Law (2004 - To Date)

NCCR-Mageuzi:Member of Parliament Candidate (1995)

Safiii cv imesimamia kucha hii
 
Lumumba hawataki kuiona wala kuisikia CV hii ya Nguli wa sheria hapa Tanzania na ukanda wa A. Mashariki na kati kwa ujumla. Huyu ndiye aliyewafanya vijana hao wa Lumumba walale na viatu jana tarehe 5 Julai 2016 pale alipowadhalilisha kwa kuwafunza sheria mawakili wa serikali kwenye mahakama ya Kisutu. Wamwache Tundu amzodoe mkuu wa kaya kwa raha zake.

Tundu Lissu ni kiboko ya Mafisi wote wa CCM!
Nakumbuka kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2010 wakti JK akiwa kwenye kampeni kwenye jimbo la Tundu Lisu aliwaambia wana CCM wenzake,nanukuu"Msije mkakosea kumchagua Tundu Lissu maana huyu mtu ni hatari,ni afadhali kuwa na kina Dr.Slaa 10 kuliko kuwa na Tundu Lisu 1 Bungeni!" mwisho wa kunukuu!
 
Mbona ameshindwa kutumia vifungu Vya SHERIA kumbana naibu Spika? Ambaye anatumia vifungu Vya SHERIA kuongoza bunge Na UKAWA walipoona Dr.Tulia anawabana Kwa Vifungu waka muuliza Nguli wao wa SHERIA watumie kifungu gani kumbana naibu Spika akawaambia Wafunge Vitambaa midomoni.Pale amekutana Na Dr washeria arudi shuleni.Spika Makinda alikuwa ni muhasibu by professioner ndio maana alikuwa anamtumia.BT now Tundulisu inabidi akasome Shelia Kwa DR TULIA .NIMAWAZO YANGU TU MSITOE POVU
Hakuna shera anayoitumia zaidi ya ubabe kama ubabe ndio vifungu vya sheria sawa
 
Tundu Lissu ni kiboko ya Mafisi wote wa CCM!
Nakumbuka kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2010 wakti JK akiwa kwenye kampeni kwenye jimbo la Tundu Lisu aliwaambia wana CCM wenzake,nanukuu"Msije mkakosea kumchagua Tundu Lissu maana huyu mtu ni hatari,ni afadhali kuwa na kina Dr.Slaa 10 kuliko kuwa na Tundu Lisu 1 Bungeni!" mwisho wa kunukuu!
Tundu lissu ni kiboko yao
 
Mbona ameshindwa kutumia vifungu Vya SHERIA kumbana naibu Spika? Ambaye anatumia vifungu Vya SHERIA kuongoza bunge Na UKAWA walipoona Dr.Tulia anawabana Kwa Vifungu waka muuliza Nguli wao wa SHERIA watumie kifungu gani kumbana naibu Spika akawaambia Wafunge Vitambaa midomoni.Pale amekutana Na Dr washeria arudi shuleni.Spika Makinda alikuwa ni muhasibu by professioner ndio maana alikuwa anamtumia.BT now Tundulisu inabidi akasome Shelia Kwa DR TULIA .NIMAWAZO YANGU TU MSITOE POVU
You are really misinformed and fed with propagandas. Naibu Spika ni mkanyaga kanuni kama alivyo mkanyaga katiba. Kama anaombwa muongozo kupitia kanuni anaukataa, ni kifungu kipi cha kanuni za bunge kinachomuhalalishia kukataa muongozo uliopo kwa mujibu wa kanuni? Huyo anayekataa masuala mazito km Lugumi na Wanafunzi UDOM kuzungumzea ila anakubali muongozo wa mtu kuvuliwa kibaraghashia, huyo zimo kichwani kweli? Au kisa anao askari anaowaambia wawatoe wapinzani nje ndo kutumia kanuni? Kanuni za bunge hazina double standards, ila NS ana double standards, hiyo ndo kusimamia sheria? Kuwa ccm ni zaidi ya kuwa jehanamu, akili zenu huwa mnazizika sijui wapi!
 
Mbona ameshindwa kutumia vifungu Vya SHERIA kumbana naibu Spika? Ambaye anatumia vifungu Vya SHERIA kuongoza bunge Na UKAWA walipoona Dr.Tulia anawabana Kwa Vifungu waka muuliza Nguli wao wa SHERIA watumie kifungu gani kumbana naibu Spika akawaambia Wafunge Vitambaa midomoni.Pale amekutana Na Dr washeria arudi shuleni.Spika Makinda alikuwa ni muhasibu by professioner ndio maana alikuwa anamtumia.BT now Tundulisu inabidi akasome Shelia Kwa DR TULIA .NIMAWAZO YANGU TU MSITOE POVU
Waulize Dr Mwakyembe, Dr Asha Rose Migiro, Chenge kuhusu uwezo wa Tundu Lissu kwenye taaluma ya sheria watakupa majibu ya kujitosheleza kabisa
 
Unataks kusema Lissu ana PhD kama Mwakyembe? Mavi yakoooo!
Kuna sehemu nimesema Lisu ni Dr? Hivi huu utoto mnaleta huku badala ya kupeleka Facebook? Namamisha mwalimu anakufundisha na unakuwa na uelewa na perfomance kubwa kuliko mwalimu wako! Mwalimu kakufundisha Olevel alikuwa ana division three wewe unapata div one, lecturer anakufundisha yeye ana upper second wewe unapata first! Hivi hujamzidi? Sasa cha ajabu nini? Mwakyembe kumfundisha Lissu haimanishi kwamba kwenye sheria ni mzuri kuliko Lissu na hili hata bungeni kina makinda na mwanasheria mkuu wa serekali wote wanajua mbona makinda alikuwa hamconsult mwakyembe pindi vifungu vilipokuwa vinaleta utata? Au Hakuwa bungeni? Wewe ni ki... N... E... M... B.. e
 
Waulize Dr Mwakyembe, Dr Asha Rose Migiro, Chenge kuhusu uwezo wa Tundu Lissu kwenye taaluma ya sheria watakupa majibu ya kujitosheleza kabisa

gemmanuel265,
Kuna mijitu huwa naishangaa sana. Mtu anapohoji weledi wa TL kwenye taaluma ya Sheria inaonyesha yeye mwenyewe ni Bwege kiasi gani! Hivi kama JKiwete aliwataka wana CCM jimboni kwa TL wasimchague TL kwa maana ni mtu afadhali uwe na kina Slaa 10 Bungeni kuliko kuwa na TL 1 bado mtu hashirikishi ubongo wake kwanini mkulu wa nji alisema hivo!!!???Uvivu wa kufikiri.

Kama Rais anamhara TL siyo kwa ubaya au ukorofi baali ni kwa UMAHIRI ALIONAO KWENYE MASWALA YA KATIBA NA SHERIA!
Hiki ndicho bado kinampa HEADACHE Bwana JPM kila akilala akiamka ni Tundu Lisu, CHADEMA,UKUTA,UKAWA,WAPINZANI n.k! Mtu anayetaka kujua umahiri wa TL afuatilie kesi yoyote aliyoisimamia TL kama Advocate,iwe ya Uchaguzi au Jinai ndipo atagundua huyu jamaa ni nguli wa sheria! Hakuna kesi ambayo Jamhuri au Serikali wamewahi kushinda!!
Chezea Mniyapaa weye!
 
Acha ujinga wewe. Inaonekana uliishia darasa LA pili. Tundu Lissu kafundishwa na Dr Mwakyembe period!
Kua na staha unapokumbana na hoja tofauti na yako,kwa upeo wako unaamini walimu wote wanawazidi wanachuo au wanafunzi wao wote katika umahiri wa field walizowahi au wanazowafundisha,usiwe mtu mwenye narrow mind na unatakiwa umfuatilie Dr. Mwakyembe pamoja na Lissu katika field ya sheria.Vilevile unatakiwa ujue IQ zinatofautiana kati ya mtu na mtu sio kila mwalimu anamzidi mwanafunzi wake kile anachomguide akifahamu.
 
Back
Top Bottom