Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

S
Mpaka Dada yake Mange kapost hi
67efb6fed7df6e2895986271a48641eb.jpg
Shikamoo Mange sasa huu uhakiki unaosababisha watu wanakimbia hadi familia zao ni wa nini? kwa nini tunakuwa wanafki hivyo?
 
Naamini makonda hajachakachua vyeti vyake, na kwa jinsi alivyo MTU wa Mungu ataonyesha mubashara vyeti vyake vyote vya toka darasa la saba mbele ya waandishi huku pembeni akiwa na baadhi ya waalimu wake wa secondary.
Nafikiri uko kwenye ndoto na mkuu umesahau ' Debe tupu.......'
 
Nakumbuka maneno ya mwalimu wangu kwa jina maarufu Binno..." Elimu ni kile unachokumbuka na kukifanya, miaka mingi baada ya kusahau yote uliyofundishwa shuleni...." Kwa hiyo tukipewa CV ya Makonda itatusaidia nini hapa, kama kweli alichoniambia mwalimu wangu hapo juu ni cha kweli?
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Na kweli msomi wa dunia! A jack of all trades BUT a master of NOTHING! Teh teh teh!!!!!!!!!!
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
huu ni ujinga uliopitiza hata hilo jina la makonda si lake,huyo jamaa hajawahi kufaulu zaidi ya kubebwa kwenye sahani
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
we mzee nasikia hadi hii leo huna nyumba maisha yako ni ya kihunihuni ingawa umri umekutupa mwenyewe hulioni hilo, bado unaishi kwa kumtegemea mzee, je ni kweli.........?
 
@W.J. Malecela
Sioni sababu za msingi za" le mutuz" kumsifia Makonda huku unashambulia wabunge wa cdm kama Joseph mbilinyi na Lema etc.

Kwakua ishu hii haiitaji uvyama.
Bali uadilifu.

Fahamu hata wabunge wa CCM wameshakua pissed off na makonda hata mkuu wa nchi ameshampiga ban asitaje hovyo majina ya watu kuonyesha kua hayuko naye katika hilo.

Ni wazi unajaribu kupoteza muelekeo wa Uzi.

Kwa kuwagawa wachangiaji kulingana na mitazamo na itikadi zao za uvyama. Najua hutaweza.

Ama unataka umuonyeshee makonda kua wewe ni rafiki wa kweli unaempigania had I kwenye media. Ili angalau mambo yako yakunyookee.

Hata kama unapenda kua "Controversial" fahamu kua ulishaishusha thamani yako way back kwa kugombana na wanawake katika ushilawadu.

So Huna weight wala impact kubwa sana katika siasa za nchi hii.
Taiga hili Lima rekodi nzuri ha kuteua vihiyo katika nyanja mbalimbali.
So kua rais wa wanavyuo is not a big deal.

Katika umri wako, Unaweza kuonekana mpiga porojo tu. Usie na thamani.

Ni vyema ungejenga hoja constructive ili uturudishe kwenye Mood.
 
CV za nn? acheni Unyumbu mbona Mbowe anaongoza maprofesa chadema, Kama huna karama ya uongozi hata usome vipi bado utashindwa kuongoza hata mtaa wako tyu.
Tatizo ni kua kwa nini ugushi
CV za nn? acheni Unyumbu mbona Mbowe anaongoza maprofesa chadema, Kama huna karama ya uongozi hata usome vipi bado utashindwa kuongoza hata mtaa wako tyu.
Sawa ni kweli ila tatizo kwa nini ugushi katika nafasi kama yake ... ama kweli mpenda akiona chongo anasema kengeza ... katenda kosa kugushi inabidi awajibike
 
Mtasema sana ila in life ni kupata. Ongea mpaka povu litoke. And Makonda is not your type any more. Maisha yake hauwezi kuyafikia
 
Mtasema sana ila in life ni kupata. Ongea mpaka povu litoke. And Makonda is not your type any more. Maisha yake hauwezi kuyafikia
Hata
Wauza unga wanajidai wamepata, waganga wa kienyeji,
Corrupt leaders,
madokta feki,
wainjilisti feki,
matapeli nk.
Huku si kupata ni kupatwa.

No one knows what future may hold..
 
Wiki inamalizika na hataki kuweka vyeti na CV yake online.

Tafadhali RC Makonda hili jambo likifika wiki ijayo hujaliweka wazi jua kuwa position yako itakuwa untenable na itabidi ujiuzulu hiyo nafasi yako.

Kimya chako kama public figure kinawapa nguvu watu kusema watakayo na usilaumu investigative journalists watakapo weka wazi kila kitu kukuhusu.
 
Back
Top Bottom