Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

najaribu kuunganisha doti lkn zinafutika ......sauti ya MUNGU
 
Unafiki Wa watanzania.....juhudi zake ndo zimemfikisha hapo ikumbikwe miaka ya zamani watu walikuwa na tabia ya kurudia darasa la saba ili wapate nafasi ya naenda kidato cha kwanza!! Unakuta mtu akiamua kurudia darasa la sita au la saba Mara nyingi Mwl Mkuu alikuwa akiwapatia majina ya wanafunzi walioacha kazi na mtu anapopewa lile jina urudia shule!! Na kama atafanya vyema na kuendelea utasema ye ni jipu!! Tuache unafiki Wa ki****
we nawe akili yako tope tu.. kwendraa kule na hoja zako chakavu zisizo na mashiko
 
kionjo cha CV yake akiwa moshi ni pamoja na kukopa mashati dox pale jengo la stendi ghorofani na hajalipa mpaka kesho
 
CV za nn? acheni Unyumbu mbona Mbowe anaongoza maprofesa chadema, Kama huna karama ya uongozi hata usome vipi bado utashindwa kuongoza hata mtaa wako tyu.
 
Unafiki Wa watanzania.....juhudi zake ndo zimemfikisha hapo ikumbikwe miaka ya zamani watu walikuwa na tabia ya kurudia darasa la saba ili wapate nafasi ya naenda kidato cha kwanza!! Unakuta mtu akiamua kurudia darasa la sita au la saba Mara nyingi Mwl Mkuu alikuwa akiwapatia majina ya wanafunzi walioacha kazi na mtu anapopewa lile jina urudia shule!! Na kama atafanya vyema na kuendelea utasema ye ni jipu!! Tuache unafiki Wa ki****
Hukusikia crackdown ya Mama le Peof Ndali? Kwani alisema hao wamesamehewa? Ila hy kanunua hakurudia , ni mifano miwili tofauti.....
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

Kumbe ni msomi wa dunia?
 
Mpaka Dada yake Mange kapost hi
67efb6fed7df6e2895986271a48641eb.jpg
 
teh teh..sugu, mtu mkora kwenye kazi ya heshima.
Kwani nani hajui kuwa Viongozi wetu wengi na wanaccm wanavyeti vya kuchakachua hata Mbunge wa NZG vjjn Kigwangalla sio majina yake yeye anaitwa Hamisi.NASSORO.Bagaire.hayo majina mengine ya Andrew.Hamisi Kigwangalla anajua yeye alikoyayoa! Sio ajabu Akina makonda nao wakawa ktk mfumo huo!
 
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Mmmmmmmh kwa pumba zile amewazid kweli

Hivi mnasema hata darasa la saba alimaliza kweli?

Mbona IQ ya makondo=-0.5=-1/2

Sasa mburula makondo namna hiyo tunamfananishaje na wasomi kama mbowe maana mbowe elimu yake kubwa mno kama unabisha lete data
 
Back
Top Bottom