strabag
Member
- Dec 22, 2014
- 62
- 36
Ts a joke kufananisha uwezo kielimu wa Makonda na Slaa na Mnyika.Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Ts a joke kufananisha uwezo kielimu wa Makonda na Slaa na Mnyika.Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Hiyo program ipo pale ushirika inaitwa BA- CED. Yaani Bachelor of Community and Economic Development. Kwa kiswahili ni stashahada ya Maendeleo ya uchumi na jamii.View attachment 227988
Jamani, usitudanganye. Angalia picha hii inaonyesha kasoma nini huyu dogo
Thanks!!Moshi College of COoperatives & Business Studies.
Yaani kilikuwa ni sehemu ya chuo cha SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE (SUA) tawi la moshi.Kwasasa ni Chuo kikuu cha kujitegemea kinaitwa MOSHI COOPERATIVE UNIVERSITY(MOCU) ni moja ya vyuo Unique africa nzima kwa maana kuna baadhibya programe zake hakuna chuo kinanazitoa afrika nzima. Kipo opposite ya chuo cha polisi pale sokoine road barabara ya kuelekea hospitali ya kcmc
Hahahahaa....Le mutuz le Stupid....hahahahaaa, mtoto wa Jumanne Malecela...hahahahaaa, mfalme ropokozi amekusahau kabisa katika nchi yake ya majuha.....hahahahaaaa....wewe anakutosha Mange Kimambi tu....hahahaaaaa!!!!- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Mkuu,ni kwamba habari hiyo haukuwa nayo. Hiyo ilikuwa ni constituent collegecollege of Sokoine kabla haijaanza kujitegemeaThanks!!
Nakifahamu hicho chuo (Chuo cha Ushirika). Sikuwa najua kifupi chake.
Ila masahihisho kidogo, Chuo hicho hakijawahi kuwa sehemu ya SUA ...... Bahati nzuri, mimi pia ni graduate wa SUA!!
Ndiomana huishi kuhusishwa na mambo mengine kwa kujipendekeza kwako, alafu baada ya dakika unaanza kujisafisha na kuwakana watu,, ze akili ndigo..- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
HAPANA........haupo sahihi na kama unataka uhakika nenda kasome prospectus ya kuanzia mwaka wa masomo 2013 kurudi nyuma utaona kuwa kile ni chuo kishirikishi cha SUA. Hata cheti cha huyo makonda kama utakiona basi kitakuwa kimeandikwa nembo ya SUA kwa maana alimaliza kipindi ambacho hiki chuo kilikuwa chini ya chuo cha SUA na kipindi hicho hakikuwa kikiitwa chuo kikuu kilikuwa ni kitivo cha ushirika na biashara yaani kama DUCE au ARDHI ilivyosehemu ya Chuo kikuu cha Dar es salaam.Thanks!!
Nakifahamu hicho chuo (Chuo cha Ushirika). Sikuwa najua kifupi chake.
Ila masahihisho kidogo, Chuo hicho hakijawahi kuwa sehemu ya SUA ...... Bahati nzuri, mimi pia ni graduate wa SUA!!
Watu wengi wanaosoma SUA hawafahamu kuwa MOCU au Chuo cha ushirika kilishawahi kuwa chini ya Chuo kikuu cha SOKOINE(SUA)Mkuu,ni kwamba habari hiyo haukuwa nayo. Hiyo ilikuwa ni constituent collegecollege of Sokoine kabla haijaanza kujitegemea
Elimu,inakusaidie kama utendaji wako hauzingatii,heshima kwa unaowaongoza,kufuata taratibu na sheria nk.mfano niliposimama mm jua mungu amesimama.teh teh..sugu, mtu mkora kwenye kazi ya heshima.
Msomi wa dunia Makonda? Kweli LE MUTUZ ni mtu rahisi sana kummiliki!- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Haaahaa hayaUjinga mzigo
Ardhi ni chuo kinachojitegemea..hiyo ilikuwa UCLASHAPANA........haupo sahihi na kama unataka uhakika nenda kasome prospectus ya kuanzia mwaka wa masomo 2013 kurudi nyuma utaona kuwa kile ni chuo kishirikishi cha SUA. Hata cheti cha huyo makonda kama utakiona basi kitakuwa kimeandikwa nembo ya SUA kwa maana alimaliza kipindi ambacho hiki chuo kilikuwa chini ya chuo cha SUA na kipindi hicho hakikuwa kikiitwa chuo kikuu kilikuwa ni kitivo cha ushirika na biashara yaani kama DUCE au ARDHI ilivyosehemu ya Chuo kikuu cha Dar es salaam.
Upo sahihiHAPANA........haupo sahihi na kama unataka uhakika nenda kasome prospectus ya kuanzia mwaka wa masomo 2013 kurudi nyuma utaona kuwa kile ni chuo kishirikishi cha SUA. Hata cheti cha huyo makonda kama utakiona basi kitakuwa kimeandikwa nembo ya SUA kwa maana alimaliza kipindi ambacho hiki chuo kilikuwa chini ya chuo cha SUA na kipindi hicho hakikuwa kikiitwa chuo kikuu kilikuwa ni kitivo cha ushirika na biashara yaani kama DUCE au ARDHI ilivyosehemu ya Chuo kikuu cha Dar es salaam.