Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Kama kule hakuna basi unachotafuta hakipo dunia hii.... Hao wachimbaji wa jamvini watakupa majungu... Mara, anatoka na kajala mara utaskia waarabu wa gsm watu wake mara utaskia ana beef na wauza shisha mara utaskia alimpiga warioba mara utaskia anawaonea wivu mashougaaaaa kisa, waligombea bwana ..... Yani hapa jiandae kubeba majunguuuuuuuu.

Nakushauri rudi gugoooo.... Huko utapata kweli tupuuuu
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
teh teh..sugu, mtu mkora kwenye kazi ya heshima.
 
Wanajukwaaa wenzangu naomba kwa mwenye kujua background ya mkuu wa mkoa wa jiji la Dar PAUL MAKONDA aniwekee hapa.
 
katokea huku
Screenshot_2016-10-15-22-39-39.png

swissme
 
Tafadhali mwenye wasifu kamili wa Paul Makonda, iliyokamilika ikionyesha elimu yake aliyonayo na mambo yote ya muhimu atuwekee hapa tafadhali.
Mods tafadhali msiunganishe huu uzi...!!
 
Utakuwa mgeni wewe hapa, ilishaletwa mara kadhaa hapa, haina msaada wowote kwa yanayofanyika hapa,
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Vipi umerejea tena Mtandaoni baada ya Mother ako wa Kufukia Kurejeshwa heshima yake! vipi wewe bado una gundu!
 
1.Aliwahi kuwa waziri mkuu -MUCCOBS
2. Alipiga hela za wanafunzi ikapelekea kuzuia sherehe za kukaribishana wanafunzi
3.Hajawahi fanya assignment akiwa chuo ila alifanyiwa na frnds zake kama Edy+ Ino akiwaahidi kuwatafutia kazi wakimaliza chuo
4. Aliwahi kumtishia kumpiga dean wa chuo (mrs nk) endapo angeendelea kumzuia kutimiza tamaa zake za kimadaraka.
5.Alijitahidi kukuza chama cha CCM MUCCOBS(nampongeza sana kwa hili),
6. Aliwaahidi wana ccm wote muccobs kupewa kazi nzuri wakimaliza chuo(hope atatimiza hili sasa bila ubishi)
7. Makonda oyeeeeeee
Kaukweli ndani yake
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Kubwa jingazzz wewe ndiio mpuuzi namba moja kati ya watoto wa viongozi nchi hii.Nawewe CV yako na mange nani yupo juu.umeka America miaka mianane hujarudi hata na toyo.
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

Bado unaamini katika haya?
 
alifeli pale Muccobs sitta akapiga simu apasishwe haraka sana
Mkuu kama hauna ushahidi ni jambo la aibu mtu mzima kuongea tuhuma za kizushi hasa kumhusisha marehemu. Tukumbuke Marehemu Sitta ana watoto je wanajisikiaje kusikia baba yao marehemu anahusishwa na mambo yaliyo kinyume na maadili na sheria? Tuweke staha ya maneno yetu, kesho kwako au kwa baba yako au kwa mtoto wako. Hizi siasa tu zisitupunguze busara.
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Wewe inaonekana maboxi yalikuathiri vibaya sana
 
Kama cv ni muhimu iangalie ya waziri wako kivuli sugu.acha udaku fanya kazi unaweza kuwa hata katibu tarafa.ona wenzako sasa ni waheshimiwa
Kachaguliwa kwa kura za kutosha na wananchi waliopewa kwanza wasifu wake ...ndipo wakasema huyu ndie tunaemtaka sio huyo nani sijui mange kamtaja..!
 
Back
Top Bottom