Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Kama Paul amefanywa kuwa DC wa Kinondoni kama sehemu ya mpango mkakati wa uchaguzi mkuu, basi, Prof. Dr. Lt. Col. kaamua "kuisaliti" Ccm!
- Maan are you serious unataka nikawe DC wa Mbinga mimi mamen? hahahahahahaha
Le Mutuz
Unachosha na wewe na kejeli zako za kijingaaaa, msomi wa dunia awe makonda??? au unataka sifa, umekosa hata uDC, mama kapata Unaibu tulia.
alifeli pale Muccobs sitta akapiga simu apasishwe haraka sana
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
cv yake ni ile ile ya kufaulu shule siyo kufaulu maisha.
alifeli pale Muccobs sitta akapiga simu apasishwe haraka sana
Kama cv ni muhimu iangalie ya waziri wako kivuli sugu.acha udaku fanya kazi unaweza kuwa hata katibu tarafa.ona wenzako sasa ni waheshimiwa
kumbe ni kichwa,maana zitto kabwe anayo ya 2.6.
alifeli pale Muccobs sitta akapiga simu apasishwe haraka sana
- Maan are you serious unataka nikawe DC wa Mbinga mimi mamen? hahahahahahaha
Le Mutuz
hapo kwenye red:halafu unatuambia una digrii tatu,yes unaweza kuwa nazo lakini lazima itakuwa john malecela alipiga simu utunukiwe hizo shahada.Kubwa jinga linaongea kama darasa la pili.
Hahahaha mkuu huwa unanivunja mbavu sana, usijali hata hivyo wewe ni DC wa Instagram, inatosha.
Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.
Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
Mkuu Achana Nae Huyo Bonge! Me Hua Sielewi Comments Zake Humu, Haziendane Na Jina La Historia Ya Familia Yake! Hivi Huyu Jamaa Elimu Yake Ya Marekani Aliipataje?
Lindiwe sisulu Ndugu Paul Makonda ni msomi wa shahada mbili za sheria kutoka UDSM ni mwanasheria mahiri ni kijana aliyekulia kutoka chipukizi hadi hapo alipofikia..amezaliwa kiongozi kwani kote alipokuwepo ikiwemo skuli amekuwa kiongozi na anayo dhamira ya dhati ya kulitumikia taifa lake la tanzania kwani kazaliwa mtanzania kasoma mtanzania na atabaki mtanzania