atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,545
- 9,774
Umejiunga lini JF ?hii post unafikiri ni ya Leo nin boya wwHaisaidii na haitamvunja nguvu RC wetu. Ulikuwa wapi siku zote mbona hukusema hayo kabla!!
Umejiunga lini JF ?hii post unafikiri ni ya Leo nin boya wwHaisaidii na haitamvunja nguvu RC wetu. Ulikuwa wapi siku zote mbona hukusema hayo kabla!!
Kama umejiunga JF juzi pole ila jaribu kufuatilia alicomment kipindi ganMkuu kama hauna ushahidi ni jambo la aibu mtu mzima kuongea tuhuma za kizushi hasa kumhusisha marehemu. Tukumbuke Marehemu Sitta ana watoto je wanajisikiaje kusikia baba yao marehemu anahusishwa na mambo yaliyo kinyume na maadili na sheria? Tuweke staha ya maneno yetu, kesho kwako au kwa baba yako au kwa mtoto wako. Hizi siasa tu zisitupunguze busara.
twafwaZzzzzzz- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Umemsahau Prof.LipumbaKwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Mkuu profile yako inasema wewe ni member since Jun 2015, na profile yangu inasema member since Jan 2012 sijui mgeni nani? Kwanza hapo tu inaonesha wewe mgeni kiasi kwamba haujui kuangalia member kajiunga lini na JF.Kama umejiunga JF juzi pole ila jaribu kufuatilia alicomment kipindi gan
Lo, kumbe anamzidi hata Dr. Slaa mwenye Ph.D.? Ana degree gani na aliipata chuo gani? CV za watu ikiwa ni pamoja na umri wao hasa wenye madaraka zinakuwa wazi kwenye Google. Ukiona mtu anaficha CV yake ujue kuna kasoroSlaa
NewKwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Taifa la mazombi,linatawaliwa na mavampire.Hili ni taifa LA mazombi ndo maana hata wajinga wanatutawala
Dr. Slaa unadhani alipewa udoctor ka laprofeseli wa kilimo. Aka mic wa magogon.
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Dr. Slaa unadhani alipewa udoctor ka laprofeseli wa kilimo. Aka mic wa magogon.
sipati picha,jinsi Le Mutuz anavyomyafuta Makonda ili apige nae picha,Yaani nimeamini Jakaya ni boooonge la Kilaza
Nimekueleza hivyo kutokana na ww ulivyocomment as if hiyo post ni ya juzi,wakati hii post ina zaidi ya miaka mitatu Kama sikoseiMkuu profile yako inasema wewe ni member since Jun 2015, na profile yangu inasema member since Jan 2012 sijui mgeni nani? Kwanza hapo tu inaonesha wewe mgeni kiasi kwamba haujui kuangalia member kajiunga lini na JF.
Finaly now we speak same language. Kosa nililofanya mimi ni kama ulilolifanya wewe, sikuangalia tarehe ya post na wewe haukuangalia tarehe niliyojiunga JF lakini ukanishambulia mgeni. Ulitakiwa utumie busara tu kuniambia hii post ni ya muda mrefu na mimi ningekuelewa kuliko kunishambulia huku na wewe ukifanya kosa lile lile ktk muktadha tofauti. We all did a human error, after all we are humans, we can't be 100% faultless. Sio mbaya wote tumejifunza kitu ktk hili tukio.Nimekueleza hivyo kutokana na ww ulivyocomment as if hiyo post ni ya juzi,wakati hii post ina zaidi ya miaka mitatu Kama sikosei
Wee jamaa kwenye wale wababe madawa ya kulevya na wewe umo yaan ww ndiyo punda mzur .tunasubir had mwisho wake wa hii ishu upoje ila tunasuburi jina lako kwahiyo na ww jiandae- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Wewe kubwa jinga kula kulala bado upo gheto unawapa mimba house girl? Unajidai una hisa swahili TV kumbe unafagia choo kwa mujibu wa boss wako Emmanuel Likuda, CV za Sugu na mbowe ni za kawaida lakini wana Akili na Elimu Dunia kuliko hao wenye PHD za kununua mitihani kuiba matokeo na kununua vyeti ( wasomi feki) ww Le mutuz akili yako kama ya Lipumba, kapuya na wenzao wanaojiita wasomi lakini ni wajinga kuliko hata mtu wa darasa la pili, ww unajidai umesoma huko marekani mbona sasa umeishia kuwa mpambe wa Devis mosha? na kuishi gheto na house boy, huna mke wala familila usomi wako umekusaidia nini? au umesomea kukesha usiku kwenye club na wanawake?- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Wewe mbona ni mpambe wa Devis mosha? huna lolote kubwa jinga wewe hupati hata katibu tawala wa wilaya ya mbinga kwani kichwani mwako umejaza mafuta kwenye Ubongo baada ya kujinenepeana sana, CCM hawakutaki japo unajipendekeza sana lakini wanajua tabia zako za kukesha kwenye bar usiku ukisaka wanawake ukiamini huo ndiyo usomi na cv bora .- Mvuto wa jamii upo CCM ndio maana ni Watawala toka tupate uhuru, wasio na mvuto wapo pembeni wanalipwa kupiga kelele ok!!
Le Mutuz
Noted- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Alipita pale chuo cha uvuvi nyegezi japo alipatwa na skendo ikabidi mama yake ajekumuombea asitimuliweHello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.
Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
kubwa jinga, nakuona ushakuja- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Nasikia unaushirikiano mkubwa na wauza sembe.Vipi kuhusu wewe unaonaje tukafanya upimaji?- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz