Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

msomi wa dunia hahahaaaaaaaaa.................mwavejana sana
 
Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.

Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
Haisaidii na haitamvunja nguvu RC wetu. Ulikuwa wapi siku zote mbona hukusema hayo kabla!!
 
Mijitu humu JF inakuwa kama haina akili nzuri ukiisikia na ukiona inavyoandika upupu utachoka mwenyewe

Sh....enzi
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Vyuo vikuu vya ccm
 
Kubwa jingazzz wewe ndiio mpuuzi namba moja kati ya watoto wa viongozi nchi hii.Nawewe CV yako na mange nani yupo juu.umeka America miaka mianane hujarudi hata na toyo.

Aaah nimecheka mpaka ,atiii Toyooo mwenzio kaja bongo kumiliki Noah,hiyo Noah yenyewe ukiiiona sasa kama inabebewa matikiti maji kutoka bagamoyo waii
 
Le Mutuz upo?

Back
Top Bottom