Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Hilo jibu lilitakiwa lijibiwe na 16 years old sio old man with 56 kama wewe!

Mtu ameuliza wasifu wa DC mpya, wewe unadai wasifu wa Sugu.

Ndo ulivyojifunza namna ya kujibu maswali kwenye hzo degree tatu?

-
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika

- le Mutuz
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Umekurupuka usingizini kuchangia mada hii?!
 
-
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika

- le Mutuz
Usikimbie hoja, toa cv ya makonda na hao wengine tulinganishe, wacha ngonjera hapa!
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Mmmmmmmmmmmh
 
Cv ya Mbowe, Sugu inachekesha sana. Shule hamna kabisa. Wenzenu CCM ina hazina ya Wasomi na itaendelea kutawala kwa hazina hiyo. Hizo pesa mnazowanunulia vijana VIROBA ili waandamane ni bora muwapeleke SHULE
Ww ni kilazzzer
 
1473438383355.png
1473438398493.png
1473438413136.png
 
Back
Top Bottom