Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Baharia le mutuz kawapiga pin wote humu ndani hadi mmekimbia? Bwa ha Ha ha ha ha!!!!
Hapo nimecheka kama field marshal mzee wa data kipindi hiko.
 
Mkuu unampotaja le mutuz sema.mzee le mutuz uwe na adabu kidogo kijana
 
- Alikuwa Rais wa Shirikisho la Vyuo East Africa, Katibu wa Uahamsiashaji wa UVCCM, DC wa Kinondoni, sasa ni RC wa Dar please naomba sana uweke CV ya MWenyekiti wako tuone pumba na mchele upo wapi? hahahahahah

le Mutuz
Shikamoo.mzee william? Naona bado.unakula uzee na le mbebez
 
Baharia le mutuz kawapiga pin wote humu ndani hadi mmekimbia? Bwa ha Ha ha ha ha!!!!
Hapo nimecheka kama field marshal mzee wa data kipindi hiko.
Baharia ya bwawa au dimbwi ? Yule hawezi hata kuwa baharia kwenye Bwana la mungu au hata ziwa dogo kule singida, kampiga pin Nani ? Le Mutuz mwenyewe hana cv Elimu yake ni ya kuunga unga alisoma Kwa kuiba mitihani na kukariri hata vyeti vyake ni vya magumashi hana Taaluma kichwani ndiyo maana mpaka Sasa miaka 54 bado anaishi Kwa wazazi na kuwa mpambe wa Devis Mosha. hana kazi kutwa kuzurula kwenye bar na mahoteli na michepuko .
 
Shikamoo.mzee william? Naona bado.unakula uzee na le mbebez
Ni lizee Sasa hata ule mkutano wa Wazee wa Dsm linapaswa liwemo Lina miaka 54 ni babu cha ajabu bado ni kula kulala na linachepuka na vitoto under 17 kule school bash ya clouds .
 
Hwwhaahhwha mkuu kwani hakwenda mkutano wa wazee wa Dar ?
 
Baharia ya bwawa au dimbwi ? Yule hawezi hata kuwa baharia kwenye Bwana la mungu au hata ziwa dogo kule singida, kampiga pin Nani ? Le Mutuz mwenyewe hana cv Elimu yake ni ya kuunga unga alisoma Kwa kuiba mitihani na kukariri hata vyeti vyake ni vya magumashi hana Taaluma kichwani ndiyo maana mpaka Sasa miaka 54 bado anaishi Kwa wazazi na kuwa mpambe wa Devis Mosha. hana kazi kutwa kuzurula kwenye bar na mahoteli na michepuko .

- hahahahahaha guys weka CV ya Mwenyekiti wako wacha maneno mengi mimi sio Mwenyekiti wa RC wa anything, mnalilia CV ambazo hata viongozi wenu hawana aibu muwe mnanyamaza tu Elimu hamuijui so just shut up!!

le Mutuz
 
Ni lizee Sasa hata ule mkutano wa Wazee wa Dsm linapaswa liwemo Lina miaka 54 ni babu cha ajabu bado ni kula kulala na linachepuka na vitoto under 17 kule school bash ya clouds .

- Ok unaulizwa CV ya Mwenyekiti wako wewe unaleta matusi? hahahahahahaha wewe wacha kuwa mjinga weka CV ya MWenyekiti hapa tuone kaishia wapi kwenye Elimu, sasa kama Mwenyekiti CV majangaz na nyie nyumbu itakuwaje? hahahahaha

le Mutuz
 
Le Mutuz ni chizi wa machizi.....! Wala msihangaike kupoteza muda wenu kujibizana naye...!
 
Huu uzi umeanzishwa mwaka jana toka uanzishwe na unaendelea Mwaka huu bado atujapata cv ya mkuu wa mkoa ambayo mleta mada alileta wakati ni mkuu wa wilaya duuu kumbe kuna cv nyingine ngumu kupatikana.
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Msomi wa dunia ipi?

Labda dunia ya kusadikika.
 
Cv ya Mbowe, Sugu inachekesha sana. Shule hamna kabisa. Wenzenu CCM ina hazina ya Wasomi na itaendelea kutawala kwa hazina hiyo. Hizo pesa mnazowanunulia vijana VIROBA ili waandamane ni bora muwapeleke SHULE
 
Huu uzi umeanzishwa mwaka jana toka uanzishwe na unaendelea Mwaka huu bado atujapata cv ya mkuu wa mkoa ambayo mleta mada alileta wakati ni mkuu wa wilaya duuu kumbe kuna cv nyingine ngumu kupatikana.
ukiipata mkuu naomba unipe
 
Back
Top Bottom