Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
???
 
Cv ya Mbowe, Sugu inachekesha sana. Shule hamna kabisa. Wenzenu CCM ina hazina ya Wasomi na itaendelea kutawala kwa hazina hiyo. Hizo pesa mnazowanunulia vijana VIROBA ili waandamane ni bora muwapeleke SHULE
Bila soni, wasema.
 
Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.

Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
Huyu Konda lazima atakuwa na matatizo fulani katika elimu yake, iweje ni shida kupatikana CV yake? kuna thread nyingine hapa watu wanaomba kuiona CV yake lakini hakukuwa na jibu. Hapo lazima kuna tatizo tu na si bure.
 
Kumbe hili kubwa J bado lipo? Bado linaishi kwa David Mosha......na kutumwa akamtafutie vimwana? Kubwa zima!!!
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

GPA ya 2.9 mkuu ndio msomi wa dunia??
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

Msomi mkuu wa Dunia.

swissme
 
Cv ya Mbowe, Sugu inachekesha sana. Shule hamna kabisa. Wenzenu CCM ina hazina ya Wasomi na itaendelea kutawala kwa hazina hiyo. Hizo pesa mnazowanunulia vijana VIROBA ili waandamane ni bora muwapeleke SHULE
Ina wasomi wazuri sana kama Lusinde na Abdallah Bulembo... Hongera sana ccm.
 
Back
Top Bottom