Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Chuo kikuu akiwa na mtukufu wakikagua ujenzi wa mabweni aliongoza sala ya kumuombea hivyo ana "sifa"ya ziada ya kiongozi wa kiroho
PS: Ole wake mtu akutwe amelala Guest House mchana
 
- Ok unaulizwa CV ya Mwenyekiti wako wewe unaleta matusi? hahahahahahaha wewe wacha kuwa mjinga weka CV ya MWenyekiti hapa tuone kaishia wapi kwenye Elimu, sasa kama Mwenyekiti CV majangaz na nyie nyumbu itakuwaje? hahahahaha

le Mutuz
William can't believe this? are you the one criticising Freeman? of his integretity and associated,really? OK go ahead but we living in this same world which one day shall be judged,good thing truth shall remain as truth and hypocrisy shall end up in shame this is philosophical, it could be better if you could just stay with no comments rather than tarnishing bad your very last of uelewa
Personally nimetishika sana na ufahamu wako kwa hiyo hapa huzungumzii impact ya Freeman bali umeamua kumu attack personally for a very cheap reason of education?simply because makonda was touched in this?kwa hili umenisikisha sana na MUNGU akusaidie wewe mwenye digree 3!sisi wote na vyama vyetu tutapita lakini TZ itaendela kuwepo umeongea utumbo sana which doesn't match hizo degree zako sijui 3 au 6!kwa hili umejidhalilisha sana which makes even those degrees are genuine
 
Hilo jibu lilitakiwa lijibiwe na 16 years old sio old man with 56 kama wewe!

Mtu ameuliza wasifu wa DC mpya, wewe unadai wasifu wa Sugu.

Ndo ulivyojifunza namna ya kujibu maswali kwenye hzo degree tatu?
Jibu hoja acha kejeli.
 
William can't believe this? are you the one criticising Freeman? of his integretity and associated,really? OK go ahead but we living in this same world which one day shall be judged,good thing truth shall remain as truth and hypocrisy shall end up in shame this is philosophical, it could be better if you could just stay with no comments rather than tarnishing bad your very last of uelewa
Personally nimetishika sana na ufahamu wako kwa hiyo hapa huzungumzii impact ya Freeman bali umeamua kumu attack personally for a very cheap reason of education?simply because makonda was touched in this?kwa hili umenisikisha sana na MUNGU akusaidie wewe mwenye digree 3!sisi wote na vyama vyetu tutapita lakini TZ itaendela kuwepo umeongea utumbo sana which doesn't match hizo degree zako sijui 3 au 6!kwa hili umejidhalilisha sana which makes even those degrees are genuine

- Sohii ndio CV ya Mwenyekiti wako au what?

le Mutuz Nation
 
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Mtoe huyo wa kwanza ww .....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
rais wa zamani wa vyuo vikuu,toa ushahidi la sivyo nawe ni mropokaji na mkurupukaji mahiri
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

Kwani tatizo lake liko wapi kiongozi??
Mbona mkuu wa nchi mwenyewe akikuteua anakuagiza uje na vyeti na cv? Mbona cv ya Prof. Waziri wa nishati na madini iko wazi peupe ? Huko ni kuto kujiamini.
 
Back
Top Bottom