Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Ni vigumu kubadili nyekundu kuwa njano
ndio umeshakuwa DC wa Wilaya inayonihusu

Lakini ningependa kufahamu CV ya ndugu Makonda
Tafadhari ndugu zangu
 
Attachments

  • 1423854403530.jpg
    1423854403530.jpg
    25.9 KB · Views: 410
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

kama jf kuna mapimbi wewe jamaa ni mwenyekiti wao.
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

Hapa mkuu umekuza mno, msomi wa Dunia? Seriously????
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

why don't you put it here?
 
huyu wiliam malecela atueleze ana CV gani, nasikia siku hizi ni expert wa profession inaitwa kujikomba, watoto wa nje bwana, pole sana mpaka wenye mji wametiwa kufuli kwa kuku mgeni kujifanya anajua sana kuliko wenye mji, nashangaa nguvu zote hizo hukuwekwa kwenye list na wewe? huyu JK lazima atoke atake asitake, tena kwa aibu na gerezani juu
 
Wewe ujawahi kuwa na akili zaidi ya kubaka under 18.. makonda tunajua ni mganga njaa aliyefeli chuo zaid ya mara 5 akapata hisani ya kina nape..sta..malechela..mwakyembe....na membe wakati Walipoanzsha CCJ wakamfanya makonda mhudumu/attendant wa kugawa chai kwa viongoz feki wa CCJ wakati wachumia tumbo hao apo juu walipoona upepo wao ni mbaya ndan ya ccm ni mbaya ndio maana dhambi ya usaliti inawatesa akiwemo baba yako ambaye ndye aliyekua mtanzania wa kwanza kumsaliti nyerere na kusilimu ili apate urais na akaukosa akfuatiwa na membe ambaye nae amesilimu ili awe rais ila ataukosa....mwsho makonda cv yake ni kuwa ana laana ya kumpga warioba na pia ana laana ya kumtukana lowasa kwa maagzo ya membe na nape
 
Imefika wakati sasa wenye akili wanaona teuzi za Kikwete hazina kabisa heshima.

By the way, yeye tu Kikwete kwa sifa zake hafai kuongoza jamii ya wenye akili.

Ni kwa bahati mbaya Watanzania wengi ni wajinga na huenda ndio sababu ya kumchagua mtu aina ya Kikwete.
 
huyu wiliam malecela atueleze ana CV gani, nasikia siku hizi ni expert wa profession inaitwa kujikomba, watoto wa nje bwana, pole sana mpaka wenye mji wametiwa kufuli kwa kuku mgeni kujifanya anajua sana kuliko wenye mji, nashangaa nguvu zote hizo hukuwekwa kwenye list na wewe? huyu JK lazima atoke atake asitake, tena kwa aibu na gerezani juu

Mleta mada alitaka CV ya Paul Makonda na sio ya Malecela na mwanawe, sasa naona watu wanachepuka nje ya hoja ya msingi,naomba anayeijua CV ya huyo jamaa amsaidie mleta uzi ili itusaidie sote ili tukimjadili Makondakama Mkuu wa wilaya basi tumjadili tukiwa tunamfahamu kwa wasifu wa kweli,
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

Khaa!..huyu naye kameibukia wapi le mzee kama teenager.
 
Kwako bashomile,being educated ni kupewa udc??hivi nchi hii itaenda mbele,kwl ??huyo jamaa po yawezekana alihudhuria shule sio kuelimika,mwenyekiti amedharirisha chama chake
 
soon atakuwa MKUU WA MKOA.thats how our country works..keep complaining, utakufa hata hujapata ubalozi wa nyumba kumi.
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

Nasikia ulitaka kujitia kitanzi baada ya kutokuwemo kwenye orodha mpya ya ma dc!
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

jamaa una mipasho sana! Umekulia kwenye taarabu nini mkuu!
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

kati ya wanaotapatapa hii nchi, wewe ni moja wao! Mkuu unashida gani mbona wewe hupewi u-dc? Hebu jichunguze, possibly unaoneka kubwa jinga huko CCM! Hata u-dc usipewe?! Unashangilia tu, wenzako! Eti msomi wa dunia!! Huna aibu mtu mzima wewe!!
 
Back
Top Bottom