VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 8,145
- 12,744
Emu tuache kidogo tupo kwenye maandalizi ya D9...atakayeelewa anieleweshe
Emu tuache kidogo tupo kwenye maandalizi ya D9...atakayeelewa anieleweshe
Yaan hata huchoki kusomaelimu mbali mbali
Wewe kaa na phd yako ya mechanical engineering, unafundisha kusuka vyuma huku ukila mavumbiNi vizuri tukijua matokeo yake ya kidato cha nne na cha sita...
Ukitaka aende wapi na kasomea kuchezea oil!Wewe kaa na phd yako ya mechanical engineering, unafundisha kusuka vyuma huku ukila mavumbi
Mkuu wewe umepiga Bsc Civil Engineering nini? Mavitu magumu magumu tuYaan bhana ukiwa na uhakika wa ajira unasoma kozi simple simple tu na unatoboa kirahis tu
Utaielewa mbele ya safari, kanyaga twendeWasifu wa Wanu Hafidh Ameir Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia
Taarifa Za Msingi
• Jina Kamili: Wanu Hafidh Ameir
• Tarehe ya Kuzaliwa: 09 Februari 1982
• Chama cha Kisiasa: CCM (Chama Cha Mapinduzi)
Elimu
• Shule ya Msingi: Mwanakwerekwe B Primary School (1990–1996)
• Sekondari: Kawanda Secondary School, O-Level (1997–2000)
• Sekondari ya A-Level: Kawanda Secondary School (2001–2002)
• Shahada ya Cheo cha Kazi (Certificate): Info-Serve Institute (2005–2006), kusaidia kazi za kisheria (“Legal Assistance”)
• Diploma: Centre for Foreign Relations, kozi ya Uhusiano wa Kimataifa na Utawala wa Diplomasia (2007–2008)
Historia ya Kazi
• Msaidizi wa Utawala (Administrative Officer), Wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji, Zanzibar (SMZ) – mwaka 2010.
Uzoefu wa Kisiasa
• Mwanachama wa Kamati ya Utekelezaji ya CCM (CCM National Executive Committee) tangu 2010.
• Mwenyekiti wa CCM vijana, Unguja Kusini (2008–2012).
Mafunzo & Kozi Za Ziada
• Mafunzo ya ukuaji wa maendeleo (“Growth for Development”) – Uingereza, 2014.
• Cheti cha Uandishi wa Sheria (“Legal Drafting”) – Zanzibar Law Resource Centre, 2013.
• Mafunzo ya Uongozi (“Leadership Development”) – Chuo cha Wawakilishi, 2013.
• Kozi ya Kompyuta – Karume Technical Institute, 2003–2004.
Chanzo: Kulingana na Tovuti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar:
Credit : Habari24
Hakufaulu vzr sema amesoma elimu mbalimbaliNi vizuri tukijua matokeo yake ya kidato cha nne na cha sita...
Una uhakika si mbunge!?.. tatizo huwa hamna information na mna mihemko
kUna makozi ya enzi zetu yalikuwa yanajulikana kabisa kwamba ukitoboa kuna maslahi makubwa mazuri,hasa kwa huo wakat aliosoma WanuMkuu wewe umepiga Bsc Civil Engineering nini? Mavitu magumu magumu tu
Wanajua uzito na umuhimu wa hii wizara kweli!Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021.
She graduated in law in 2018 from the online Open University of Tanzania
========
Wasifu wa Wanu Hafidh Ameir Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia
Taarifa Za Msingi
• Jina Kamili: Wanu Hafidh Ameir
• Tarehe ya Kuzaliwa: 09 Februari 1982
• Chama cha Kisiasa: CCM (Chama Cha Mapinduzi)
Elimu
• Shule ya Msingi: Mwanakwerekwe B Primary School (1990–1996)
• Sekondari: Kawanda Secondary School, O-Level (1997–2000)
• Sekondari ya A-Level: Kawanda Secondary School (2001–2002)
• Shahada ya Cheo cha Kazi (Certificate): Info-Serve Institute (2005–2006), kusaidia kazi za kisheria (“Legal Assistance”)
• Diploma: Centre for Foreign Relations, kozi ya Uhusiano wa Kimataifa na Utawala wa Diplomasia (2007–2008)
Historia ya Kazi
• Msaidizi wa Utawala (Administrative Officer), Wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji, Zanzibar (SMZ) – mwaka 2010.
Uzoefu wa Kisiasa
• Mwanachama wa Kamati ya Utekelezaji ya CCM (CCM National Executive Committee) tangu 2010.
• Mwenyekiti wa CCM vijana, Unguja Kusini (2008–2012).
Mafunzo & Kozi Za Ziada
• Mafunzo ya ukuaji wa maendeleo (“Growth for Development”) – Uingereza, 2014.
• Cheti cha Uandishi wa Sheria (“Legal Drafting”) – Zanzibar Law Resource Centre, 2013.
• Mafunzo ya Uongozi (“Leadership Development”) – Chuo cha Wawakilishi, 2013.
• Kozi ya Kompyuta – Karume Technical Institute, 2003–2004.
Chanzo: Kulingana na Tovuti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar:
Sema yeye ni outlier kwasababu ametokea familia za makada wa CCMkUna makozi ya enzi zetu yalikuwa yanajulikana kabisa kwamba ukitoboa kuna maslahi makubwa mazuri,hasa kwa huo wakat aliosoma Wanu
Lakin wanu akajipigia certificate fresh tu ya mambo yao kaenda diploma yaan uhakika tu,