Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
Hebu wekeni hii sawa:
(a) alipata zero form four
(b) aliiba mtihani akapata zero form four (ikiwa hivi itakuwa noma kichizi)
(c) alifaulu form four lakini aliiba mtihani
The same can be asked for form six results.
.............
Mwanzo ulikuwa wapi Kama ulijua kaiba why hukusrma long???? Na wakati anaiba we ulikuwa wapi ??????😕😕😕😕😕😕😕😕😕😕😕😕😕😕.........
Huenda hiyo ndio mission.Makamba kuongelea uraisi nitamwelewa kama anatumika ku-distract attention ya jambo fulani, vinginevyo atutake radhi kwa yeye kuwa na wazo hilo.
ben hivi kujibu swali mpaka ulambe sumu kidogo kwani kuna ugumu gani kutaja mbowe alipata nn form 6.au atakunyima dili la kuua watu kwa sumu?
Pro cdm ni wajuvi mno kushadadia cv za wenzao.. PINDI zikiwekwa za viongozi wao wanalia kwa mods thread ifungwe.. mara waliosoma wametufanyia nini
bwana makamba km kweli yeye ni kiongozi makini basi aje athibitishe na akanushe hizi tuhuma hizi.vingnevo atakuwa amefuta haya mawazo machache mazuri aliyokuwa kajitengenezea
Mheshimiwa Januari Makamba bado mchanga mno kwenye siasa, huwezi hata kumfikiria kwa nafasi ya uwaziri, SEMBUSE URAISI, MSIFANYE MCHEZO JAMANI NA NAFASI YA URAISI, huo unaibu waziri amepewa kwa majaribio lakini bado unaonekana kumshinda, ukitaka kujua kama bado hajakomaa kisiasa fuatilia suala dogo tu la sakata la kodi ya laini za simu ambavyo alianza kujihami kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha kwamba hakuwa ameuafiki uamuzi wa Bunge wa kupitisha kodi ya laini za simu, yeye kama sehemu ya serikali hakutakiwa kukimbilia kwenye mitandao ya kijamii kuanza kujitetea kwa wananchi kwamba yeye ni msafi ila hao waliopitisha ile kodi ndio ambao hawawatakii mema wananchi, alitakiwa apambane na hilo suala humo humo ndani ya serikali bila kutuonyesha sisi wananchi kwamba yeye ndio mzuri na wengine ndio wabaya, hizo alizoonyesha ni siasa za kinafiki, mbali na hivyo alienda mbali zaidi na kuanzisha malumbano ya mipasho na Mheshimiwa John Mnyika, hilo lilikuwa ni suala la kipumbavu sana kufanywa na mtu kama yeye, Naibu Waziri unaanzisha malumbano ya mipasho, THAT WAS A VERY STUPID THING TO DO.
je macho ya mwenyekiti wako na katibu wako mkuu kama wanatumbuliwa jipu.