Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
tuhuma kama hizi ni serious.mtu anapaswa kuzijibu once and for all.tuhuma hizi zinaathiri jamii ambayo mwishowe itaona udanganyifu katika taaluma ni jambo la kawaida
Ambazo nilitafutiwa chuo na serikali yako
achana na porojo. tuhuma tuhuma tuhuma! tumechoka. toka jana wimbo ni huohuo! acha wivu ben wa kike ben. makamba ni habari nyingine. yule kijana Mungu amemruzuku! uwezo wake ni mkubwa. namkubali zitto lakini makamba is more smarter.... ubongo unafanya kazi. ni bingwa wa kutafakari kabla hajaongea. ametulia. uwezo wa kupindukia wa kuongea kiswahili na kiingereza, mwana maendeleo jimboni kwake. akigombea, nitamuunga mkono kuwa rais wa TZ.
kumbe we dogo mpuuz sana umesomeshwa na ccm leo unanyea kambi na kupinga kila kitu,et unajua kuliko waliokupeleka shule mtoto wa maskin ww
Niliiona hii.Sijui kwanini mtu asije na ID yake tu hapa badala ya kutumia ID yake fake.Mapovu yote aliyotoa kwa ID nyingine nimemwambia hayatamsaidia.
Uhuni huu wa kwenye mitandao anadhani anauweza sana.
Waziri wa sayansi na teknolojia. ! ! !
CC: makambajr , Selemani , january
CC: njiwa, Radhia Sweety- Kwa mrejesho tu
Serikali iliyokua inakusanya kodi ilitakiwa ifanye zaidi ya hayo.Wazazi wangu na watanzania walikua wakitozwa kodi.Ilikua haki yangu na watanzania wengine walionyimwa haki hiyo.Haijawahi kuwa hisani,it was my right.
Ben,
Mbona unaruka ruka? hujui unachotaka katika mjadala huu? mara form four, mara sim card, sasa shahada! Tena katika kuonesha kukosea kwa January kuchagua kozi umewatukana wote waliosomea utatutizi wa migogoro kama watu wasio na akili timamu. Brother, be consistent, kama una issues personal na JM be clear, naona huna issue yoyote ya maana juu yake ndio maana unapoteza muda with these petty claims.
Daah. Kuna raia wana vichwa vigumu.
Basi sawa.
Tufanye kwamba ni kweli 1)January Makamba aliiba pepa la form 4, halafu akapata zero F6 kama unavyodai, unashauri wewe nini kifanyike kwenda mbele.
Unaongelea petty claim yaani tuhuma za wizi wa mitihani kwa taifa ambalo juzi tu limepata fedheha kwa matokeo mabovu na kushuka kwa sekta ya elimu?Yaani Waziri aliyeiba mitihani unategemea akae au amshauri rais kuhusu sekta ya elimu?
Yaani crisis hii ya wanafunzi wengi kukimbia masomo ya sayansi unaona kuwa ni jambo la kheri kuwa na waziri wa sayansi na teknolojia anayetuhumiwa kufanya udanganyifu kidato cha kisha akaja kuwa waziri?Role model
Ni petty claim kuwa aliyeweza kufanya udanganyifu kidato cha nne anawezaje kuaminika akiwa karibu na hazina baadae?
Ni petty claim kuwa hatuwezi kujenga taifa adilifu kwa kuhalalisha udanganyifu katika taaluma na ujuzi wetu?
Then i dont know what's wrong with this country and Africa by extension
1:Ni bora upate zero kuliko kuiba mitihani kisha upewe uwaziri wa sayansi na teknolojia unaohitaji vipaji na ubunifu kuliko kuiba mitihani huku tukijua ubunifu wa vibaka hauhitajiki katika jamii iluyostaarabika.Sasa tuachane na vita ya kupambana na vibaka!
2:CV ya Mbowe iko wazi kitaaluma.Mgombea urais aliyeruhusiwa kisheria 2005.
Dr.Slaa?Just be honest to yourself.
3:CV yangu iulize jamhuri ya muungano wa Tanzania iliyonisomesha nje.Viulize vyuo vya Allahavad,Annamalai na Glasgow University-Scotland.Kisha iulize jamii.Kisha Rudi majukwa yote ya JF kuanzia Siasa,International Forum,Chit Chat(Usimtamani Madame B),MMU,Business,Lugha,Sheria,Jf doctor na Intelligence Forum.Nje ya JF nenda Nairaland ya Nigeria,Ghana,The Planet na Political Forum ya USA.Jukwaa Kenya na Mashada ambayo imepumzika kisha turudi kwenye harakati za mabaraza ya katiba badala ya kuendelea kufuatilia other forums.Tulia tuli tuli.
Unaongelea petty claim yaani tuhuma za wizi wa mitihani kwa taifa ambalo juzi tu limepata fedheha kwa matokeo mabovu na kushuka kwa sekta ya elimu?Yaani Waziri aliyeiba mitihani unategemea akae au amshauri rais kuhusu sekta ya elimu?
Yaani crisis hii ya wanafunzi wengi kukimbia masomo ya sayansi unaona kuwa ni jambo la kheri kuwa na waziri wa sayansi na teknolojia anayetuhumiwa kufanya udanganyifu kidato cha kisha akaja kuwa waziri?Role model
Ni petty claim kuwa aliyeweza kufanya udanganyifu kidato cha nne anawezaje kuaminika akiwa karibu na hazina baadae?
Ni petty claim kuwa hatuwezi kujenga taifa adilifu kwa kuhalalisha udanganyifu katika taaluma na ujuzi wetu?
Then i dont know what's wrong with this country and Africa by extension
Dr Cyril Chami hakushindwa mkuu ni siasa tu......
Ben,
Wewe ulituhumiwa kutembea na sumu (sijui ni ya panya au ipi), unadhani tuhuma hizi za mitaani kuhusu form four ni serious kuliko hiyo? Wewe unakosa sifa ya kuwa kiongozi kwa sababu mtu aliamka asubuhi na hangover za kwenye send off na kujisemea kwamba Ben alitaka kumdhuru fulani? Kama ulitaka kuelimika ungeshaelimika maana wachangiaji humu kama Ridhiasweety na Selemani wamesema vya kutosha.
Ushauri wa bure bwana mdogo. Andika kwa kutumia lugha ambayo upo comfortable nayo. Ni rahisi kwa sisi tunaosoma mabandiko yako kukuelewa. Na vile vile unaweza ku-mask ukilaza wako.
Hakuna ukilaza wenye madhara kama kuacha madini yatoroshwe na wageni halafu deficit ijazwe kwa kuwalipisha kodi ya laini za simu maskini wa vijijini.Hiyo sio smartness!
Unajua ukibishana na wanawake huwa wanaingiza mambo ambayo hata hayahusiani na ugomvi wenu wa sasa. Kwa mfano, unaweza kuwa umemuudhi mke wako kwa kulala nje ya nyumba, katika ule ugomvi, pia atakumbushia pia na lile kosa la mwaka juzi la kutompa mtaji wa M-PESA mdogo wake. Hizo ndio hulka zao, lengo lao ni kukutia hasira na wanabishana na emotions sana. Hawaweki logic wala rationality.
Bwana mdogo wewe ni mtoto wa kiume (Ingawa unatutia shaka jinsi unavyoingiza hoja zisizohusika). Tunaongelea ishu ya mitihani ya F4, tulimalize hili kwanza kabla hatujaenda kwenye madini au sim card.