Alex Manonga
Senior Member
- Oct 8, 2010
- 155
- 87
Alichosema selemani ni kweli. Kama kila tuhuma itampasa mwanasiasa ajitokeze kujibu kazi ya wanasiasa itabaki kuwa kuzungumza na vyombo vya habari, na kama kutotuhumiwa ingekuwa kigezo msingi cha kuwapata viongozi basi dunia isingekuwa na viongozi!Wewe ni January Makamba?
Tuhuma hizi zililetwa humu humu,na yeye ni member humu kwa ID yake.Haiwezekani ashindwe kujibu tuhumu hizi humu kwa ID yake wakati anatajwa kama mwanasiasa ambaye ni pro kwa matumizi ya mitandao.
Alichosema selemani ni kweli. Kama kila tuhuma itampasa mwanasiasa ajitokeze kujibu kazi ya wanasiasa itabaki kuwa kuzungumza na vyombo vya habari, na kama kutotuhumiwa ingekuwa kigezo msingi cha kuwapata viongozi basi dunia isingekuwa na viongozi!
Tuhuma kama hizi ni serious.Mtu anapaswa kuzijibu once and for all.Tuhuma hizi zinaathiri jamii ambayo mwishowe itaona udanganyifu katika taaluma ni jambo la kawaida

hivi unaanzaje kumfagilia mtu ambaye ktk uongozi ht miaka 5 hajafika..kwa kifupi na muona wakawaida..sijui ni lipi kafanya la ajabu mpk ashawishi hao vijana hivyo..yale yale kumfagilia kikwete enzi hizo kumbe kazi hawezi
Kutajwa kitu gani,hata babu wa Loliondo aliongoza kutajwa.
Sisi tunajadili issues wewe unalinganisha pua za watu.Be serious!
-Hoja hapa ni kuwa January Makamba atoke hadharani kukanusha tuhuma hizi za wizi wa mitihani kule Galanos Sekondari.
Mzee wa degree za india hujambo?
January siyo saizi yako kakangu. Jaribu kuwa realistic katika kila vita unayotaka kupigana. Mchizi amekuacha mbali sana--huo ndiyo ukweli.
Akanushe mara ngapi wewe.. mbona kila kitu kipo wazi kwenye website yake.. kama umegoma kuamini ni weye
Huu ndio ukweli Ben Saanane hataki kuusikia
Hoja hapa ni tuhuma za udanganyifu wa mitihani yake ya kidato cha nne
THE World Economic Forum (WEF) has named the Deputy Minister for Communications, Science and Technology, Mr January Makamba, one of its 2013 Young Global Leaders (YGLs).
http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/15440-makamba-named-2013-young-global-leader

Selemani Join Date : 26th August 2006Basi Blaza. January Makamba kaiba mitihani ya Form Four,na alipata zero Form six. Kwahiyo unashauri vipi sasa. Kwa mtazamo wako wewe?
mkuu kimbunga sabah kheri!
Ukipata muda tembelea blogu ya january alivyojikanyaga kanyaga kuhusu kufutiwa matokeo ya kidato cha nne baada ya kuthibitika kuiba (kufanya udanganyifu) mitihani ya kidato cha nne galanos secondary school.
Pengine kama si kuwa mtoto wa yusuph makamba sashivi january angekuwa anachoma mahindi bumbuli pale soni sokoni au kijijini kwekitui!
Hoja hapa ni tuhuma za udanganyifu wa mitihani yake ya kidato cha nne
au angekuwa anauza kamba za katani pale kariakoo.nchi hii bila kuwa na 'connection' na kigogo huendi kokote hata kama umesoma mbinguni.
kwa lugha unayoitumia, huna hadhi ya kujibiwa na makamba!Kitu gani kipo wazi ?Iweje afanye mtihani kama alikua victim wa negligence ya NECTA?Hapa kuna maswali mengi ambayo alitakiwa awe ameshayajibu kwenye tamko lake hilo.Mwanasiasa smart anatakiwa kujibu issues once and for all.
Kama unaburuzwa tu,ni wewe.So usilazimishe kila mtu akubali kuburuzwa
Eti anaropoka "Upinzani hakuna mwenye sura ya urais". Simcard imemshinda ataweza kukabiliana na mikataba ya Nyuklia?Ushamba tu.
By the way,huwezi kusomea shahada ya conflict resolution kama una akili timamu.Je,Migogoro ikiisha utafanya nini?Utafitini na kuomba watu wagombane?Ndiyo future hii?Je,taaluma hii isingesaidia usuluhishi na mzee shelukindo huko Bumbuli?Conflict haihitaji digrii bali busara na kujitambua tu.Kwani wafalme wetu miaka ya zamani waliwezaje kutatua migogoro?Only,Weak Creatures watafanya promotion ya taaluma hii na kujisifia kwa vyeti na majoho.