Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Mjinga mkubwa wewe, usitake kutupotosha kwani Mbowe alinunua cheti? habali ya mjini mwambie Makonda yuko uhamishoni aonyeshe vyeti. o

"habali" !!!? ndio nini umeandika? ebu na wewe weka cheti chako hapa ,mnakomaa na habari za makonda na vyeti vyake ,kumbe mambumbu mpo wengi.
 
bora mtembea bure kuliko mkaa bure, kumbe naye hana
kwahyo tunasema bashite amethubutu
 
Huwa sipati majibu ni kwanini ukiulizia matokeo ya Mwenyekiti wa Chadema huwezi pata majibu zaidi ya matusi!

Kama hujala ban, thread kuhamishwa jukwaa, kufungwa au kuwa merged na nyingine bado hujapata majibu!

Ni mwaka wa 15 sasa huu, majibu ya maswali kuhusiana na historia ya kitaaluma ya mwenyekiti wa chadema haipatikani!

Nasubiri kuona labda sasa kwakuwa wameamua kuwa wawazi watatuambia!

ugomvi huu mi simo!
 
Kani mtokeo ya Bashite yalipatikna kwa njia gani?Use unajifunza sio kulalalamika tuu,njia hiyo hiyo iliyopata matokeo ya Bashite itapta matokeo ya wrote wliofanya mitihani ya Baraza la Mitihani Tz
Matokeo ya Mbowe yatapatikana kirahisi sana pindi Mkoromije Bashite atakapoyatoa yake mubashara.
 
ficha uchi wako wew hatakamaa hajasoma au kazungusha bt hajaiba wala kununua cheti cha mtu
 
Mbowe hajasoma na yuko nchini kwa aman maana kukosa vyeti vya kitaaluma sio kosa, kosa nikuiba Cheti kama bashite na matokeo yake ni kuwa mkimbizi
 
KIBAHA ALISOMA O'LEVEL NA ALIPATA DIV- I, A'LEVEL ALISOMA IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL YA BUKOBA HGE ALIPATA DIV-II POINT 11
Si kweli, jamaa ameishia form four tu! Akaanza biashara ya baba yake mbowe hotels! Ni kweli hajawai kununua cheti!
 
Kumbe Mbowe sio jina lake...hii ni zaidi ya BASHITE na PhD fake
 
Tunamaliza moja baada ya jingine. Tumeanza na Daudi Bashite, kwanza tumalizane na huyo ndio tuendelee na wengine, na wewe tutakufikia, jiandae tu!
 
unataka akuoe au ,mwanamke akitaka kuolewa huanza kumpekuapekua mwanaume
 
Huwa sipati majibu ni kwanini ukiulizia matokeo ya Mwenyekiti wa Chadema huwezi pata majibu zaidi ya matusi!

Kama hujala ban, thread kuhamishwa jukwaa, kufungwa au kuwa merged na nyingine bado hujapata majibu!

Ni mwaka wa 15 sasa huu, majibu ya maswali kuhusiana na historia ya kitaaluma ya mwenyekiti wa chadema haipatikani!

Nasubiri kuona labda sasa kwakuwa wameamua kuwa wawazi watatuambia!
hata kama ailipata zero hatumii cheti cha mtu na anatumia jina lake halisi, tunataka Daudi Bashite aweke vyeti vyake hadharani
 
Si kweli, jamaa ameishia form four tu! Akaanza biashara ya baba yake mbowe hotels! Ni kweli hajawai kununua cheti!
ndugu mbona unakazana kwenye uongo. mimi nimesoma Ihungo na details za mbowe zipo pale high school na ukitaka kuthibitisha mkuu wa shule kwa sasa anaitwa mr Boneventure ata juzi shule ilipopata madhara ya tetemeko na kubomoka nadhani uliona speech yake mwenyewe baada ya kutembelea pale. Ukimuuliza mtu yeyote aliyesoma IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL ya bukoba atakwambia mbowe alikuwa anaishi ktk bweni linaloitwa Kenya hapo shuleni na alisoma HGE alifaulu kwa div -II points 11
 
Back
Top Bottom