cashenqued
Member
- Oct 9, 2014
- 62
- 51
Huyu hata tukiangaika nae hatatusaidia kitu maana si mwajiriwa wa serikali yeye ni siasa, siasa na yeye. Tatizo liko kule Koromije nadhani kuna haja ya ku_clear hii sintofaham ili maneno maneno yaishe.
Nimecheka hadi kila kiungo kinauma!matokeo ya MTIBWA na YANGA ni 0-0,yani BASHITE BASHITE.
Umeandika?matokeo ya MTIBWA na YANGA ni 0-0,yani BASHITE BASHITE.

Tupatie ya kwako Kwanza wewe ugonjwaHuwa sipati majibu ni kwanini ukiulizia matokeo ya Mwenyekiti wa Chadema huwezi pata majibu zaidi ya matusi!
Kama hujala ban, thread kuhamishwa jukwaa, kufungwa au kuwa merged na nyingine bado hujapata majibu!
Ni mwaka wa 15 sasa huu, majibu ya maswali kuhusiana na historia ya kitaaluma ya mwenyekiti wa chadema haipatikani!
Nasubiri kuona labda sasa kwakuwa wameamua kuwa wawazi watatuambia!
Swali zuri sana mkuu hapo ndio akili itamrudiaumewahi kuuliza ya nani ukayapata? au umewahi kuyaweka yako hapa?
Kama unataka kuolewa utaolewaKwanza elimu yake akipata wakati gani? Maana mala ya kwanza kumjua Mbowe miss Tanzania 2006 alikuwa Dj tena muda mrefu tu kabla sijamjua.
Huwa sipati majibu ni kwanini ukiulizia matokeo ya Mwenyekiti wa Chadema huwezi pata majibu zaidi ya matusi!