dinho25
Member
- Jan 6, 2017
- 81
- 89
Matokeo yako ni public?,mbona hatujawahi kuyaona,acha umbea utasutwa.Huwa sipati majibu ni kwanini ukiulizia matokeo ya Mwenyekiti wa Chadema huwezi pata majibu zaidi ya matusi!
Kama hujala ban, thread kuhamishwa jukwaa, kufungwa au kuwa merged na nyingine bado hujapata majibu!
Ni mwaka wa 15 sasa huu, majibu ya maswali kuhusiana na historia ya kitaaluma ya mwenyekiti wa chadema haipatikani!
Nasubiri kuona labda sasa kwakuwa wameamua kuwa wawazi watatuambia!