mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,282
- 6,162
ukirudi uje na cheti cha kuzaliwa kwanza cha form four nitakuwa nakuonea sana
Bashite anarudi lini?Ni msomi mkubwa tu,amegraduate virtual Dj college pamoja na majizo!
Yaani wewe ndio umejiunga Leo jf kwa kusudi ya kutetea U Bashite?Darasa lanonino ' f'
Mpiga disco maarufu,
Bush loya.
Politition muoga wa kushindwa uchaguzi n.k
Itakua naye kaenda virtual DJ college huko south AfricaBashite anarudi lini?
BashiteItakua naye kaenda virtual DJ college huko south Africa
DJ mophorisa mboeBashite
Bashite makondaDJ mophorisa mboe
Disco joker mophorisa mboeBashite makonda
Nyama ya mbango ni tamu sanaDarasa lanonino ' f'
Mpiga disco maarufu,
Bush loya.
Politition muoga wa kushindwa uchaguzi n.k
umewahi kuuliza ya nani ukayapata? au umewahi kuyaweka yako hapa?
ninachojua form four Div I, Kibaha kafuatilie utajuaYa makonda mpaka mmezitengezea jezi
Huwa sipati majibu ni kwanini ukiulizia matokeo ya Mwenyekiti wa Chadema huwezi pata majibu zaidi ya matusi!
Kama hujala ban, thread kuhamishwa jukwaa, kufungwa au kuwa merged na nyingine bado hujapata majibu!
Ni mwaka wa 15 sasa huu, majibu ya maswali kuhusiana na historia ya kitaaluma ya mwenyekiti wa chadema haipatikani!
Nasubiri kuona labda sasa kwakuwa wameamua kuwa wawazi watatuambia!
Kubwa kuliko zote, kkkkkkkDaudi unarudi lini? Ulikumbuka ndala kweli hahahaha hahahaha mtu unaulizwa vyeti unakimbia nchi
Halafu mkuu,cha kustaajabisha zaidi ni mwandiko wa hao watetezi wa Bashite,wote unafanana,lugha mkato. Hii ni ishara ya "birds of a feather flock together".Yaani wewe ndio umejiunga Leo jf kwa kusudi ya kutetea U Bashite?
Kwanza elimu yake akipata wakati gani? Maana mala ya kwanza kumjua Mbowe miss Tanzania 2006 alikuwa Dj tena muda mrefu tu kabla sijamjua.
umewahi kuuliza ya nani ukayapata? au umewahi kuyaweka yako hapa?