bora chama kuliko jiji khaNI AIBU CHAMA KUONGOZWA NA FORM SIX FAILURE.
Wakati tukiendelea kusubiria cheti cha Bwana Makonda kilicho chini ya Mchungaji/Tapeli Gwajima, inabidi tutumie nafasi hii kumuomba na mwenyekiti wetu Mbowe kujiuzuru kwa maana ni aibu kwa taasisi kubwa kama Chadema Kuongozwa na mtu ambaye Elimu yake inatia shaka.
Wana Chadema Wenzangu, nadhani mtakua mashahidi jinsi chama chetu kilivyoanza kupoteza uelekeo baada ya Bwana Magufuli kuanza kuendesha jahazi kwa uelekeo walioulilia upinzani na upinzani kukosa pa kushika hii ni kutokana na elimu ndogo ya M/kiti Wa chama kikuu cha upinzani na kiongozi Wa upinzani bungeni.
Laiti kama Lisu au Baregu. Mmoja wao angekua M/Kiti nina hakika serikali hii ingepata challenge na 2020 tungeiangusha.
NI AIBU TAASISI KUBWA KUONGOZWA NA MTU ALIYESHINDWA KIDATO CHA SITA
Kote huko tutafika, tuanze na huyo aliyelia kanisani, obviously he is guilty.KWA UFUPI KUHUSU SHULE ALIZOSOMA MBOWE BIN GASTURA ¦¦
Alisoma shule ya msingi Lambo-Moshi kwa bahati mbaya hakuchaguliwa, ila baadae akajiunga kusoma 'form i-iv' shule ya sekondari Kibaha mkoani Pwani. Je unadhani aliipata vipi hiyo nafasi ilihali hakuchaguliwa! ?, na mwisho akasoma 'form v-vi' shule ya sekondari Ihungo - Bukoba. Lakini jina alilotumia kusoma Ihungo linaonyesha kuwa lilisoma Milambo Boys kidato form i-iv, hii ina maana kuwa jina alilotumia kusoma Kibaha siyo jina alilotumia kusoma Ihungo, Ihungo alitumia jina la Firimon Gastura. Jiongeze upate majibu.
[HASHTAG]#AlisomaShuleGani[/HASHTAG] hili limejibiwa
[HASHTAG]#AlikuwaAkitumiaMajinaGaniShuleni[/HASHTAG]?
[HASHTAG]#BabaMkweAlitumiaVigezoGaniKumpaAjiraPaleBOT[/HASHTAG]?
Muwe na weekend njema.![]()