Great Thinkers,
Naona wauza madawa wanamuandama sana Mh. Makonda, ila wengi wao wamesahau kuwa Mh. Mbowe alishawahi kuandamwa na jinamizi la kupata zero, na utata wa vyeti vyake, ila hajawahi kujitokeza kusema kama ni kweli au la.
Je Mh. Mbowe ni lini atakuja jitokeza kuongelea juu ya vyeti vyake??
Makonda ni mchapa kazi, na wala propaganda haziwezi kumpunguzia ari, maana yeye anakipaji cha kuongoza.
Dah unaakili sana mkuuHata kama ana ziro jina la Freeman Mbowe ni lake au si lake?
Ha ha ha aaaaa.. Anaamisha nini??? Haki ya mungu uku kunanipa raha jaman!!!Kwani wewe unahamisha milingoti ya magoli kama nani?
Hakuweza kuendelea maana anakichwa kizito sanaAlivyo pata zero, alijiunga chuo gani na zero yake? Tuanzie hapo
Mkuu wangu, huyu mtu kahamisha milingoti ya magoli halafu kaweka pazia la gunia ili tusifungeHa ha ha aaaaa.. Anaamisha nini??? Haki ya mungu uku kunanipa raha jaman!!!

Great Thinkers,
Naona wauza madawa wanamuandama sana Mh. Makonda, ila wengi wao wamesahau kuwa Mh. Mbowe alishawahi kuandamwa na jinamizi la kupata zero, na utata wa vyeti vyake, ila hajawahi kujitokeza kusema kama ni kweli au la.
Je Mh. Mbowe ni lini atakuja jitokeza kuongelea juu ya vyeti vyake??
Makonda ni mchapa kazi, na wala propaganda haziwezi kumpunguzia ari, maana yeye anakipaji cha kuongoza.
Mkuu wangu, huyu mtu kahamisha milingoti ya magoli halafu kaweka pazia la gunia ili tusifunge![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Kwani Mbowe ametumia jina la mtu?Great Thinkers,
Naona wauza madawa wanamuandama sana Mh. Makonda, ila wengi wao wamesahau kuwa Mh. Mbowe alishawahi kuandamwa na jinamizi la kupata zero, na utata wa vyeti vyake, ila hajawahi kujitokeza kusema kama ni kweli au la.
Je Mh. Mbowe ni lini atakuja jitokeza kuongelea juu ya vyeti vyake??
Makonda ni mchapa kazi, na wala propaganda haziwezi kumpunguzia ari, maana yeye anakipaji cha kuongoza.
Mbowe ana elimu ya hapa na paleFreeman mbowe na yeye original... Sasa uyu daud bashite kwi kwi kwi...
Vyeti ni vyake au si vyake? Na je bashite vyeti ni vyake au si vyake!!! Kaa tu kimya unatia aibuMbowe ana elimu ya hapa na pale
Afadhali hiyo kuliko kuwa "Bashite Batili" mwili mzimaMbowe ana elimu ya hapa na pale

Hata taarifa za Bunge hazionesha chochote kuhusu elimu yake. Wanachadema wanakomalia ishu ya Makonda ili kupoteza ishu za Mbowe za utata wa elimu yake na tuhuma za madawa ya kulevya.Great Thinkers,