Wasichana wazuri!

Wasichana wazuri!

kuna kabila gani hapa tz lenye wasichana warembo kama wachaga na wapare(kilimanjaro kiujumla)

Mkuu unahitaji miwani au? Wachagga ni wachache sana ndiyo wazuri na hawafai kuolewa na makabila mengine kwani ni majinamizi ya talaka kwa kuongoza kuwa na fake love. Wapare most ni ugly na shapeless na desturi zao ni kama ndugu zao wachagga.
 
Mtwara, Lindi, Arusha, Singida, Tabora, Tanga, Idadi kubwa ya wanawake wa mikoa hii ni wazuri mno kisura, maumbile, tofauti na wachagga na wapare wenye meno ya kuoza, makomwe makubwa dizani ya mademu wa Kenya, na miguu ya fito.
 
He heeee awaaap chagga ndio funika njoo tu kwenye list ya washiriki wa miss tz utapata jibu sikatai kama hayo makabila mengine wazuri hata wambulu nawakubali bt chagga nomaaa

Aaaa wapiii yaan wachagaa ni wa kuwahesabu
 
Mkuu unahitaji miwani au? Wachagga ni wachache sana ndiyo wazuri na hawafai kuolewa na makabila mengine kwani ni majinamizi ya talaka kwa kuongoza kuwa na fake love. Wapare most ni ugly na shapeless na desturi zao ni kama ndugu zao wachagga.

Hahahaahahaa
 
Uzuri wa msichana tabia bhana .but kama unakusudia maumbile .Ni wahangaza,Watutsi na wairaq .duuh ni wtt wazuri sana.but wachaga ni wezi sana na anaweza kukuuwa kwa sababu ya mali hasa wamachame duu babangue hacha kabisa ilo cyo kabila la kuoa
 
Back
Top Bottom