nina maana wazuri wa sura na maumbile sometimes!
Warangi!!!!!
kuna kabila gani hapa tz lenye wasichana warembo kama wachaga na wapare(kilimanjaro kiujumla)
Ah wanyakyusa bila shaka wanafunikaaa.....si ndio wadau?
is that a question, or just a phrase?kuna kabila gani hapa tz lenye wasichana warembo kama wachaga na wapare(kilimanjaro kiujumla)
mulemule,hatariii sn hao mabinti..am among them!
Wachaga shapeless na wana mitindi hafu ------ hawana, vimiguu utadhani mianzi, Wapare wafupi hafu hawana miguu mizuri,
Meanamke mguu kijana.[/QUOTE
ebwana kweli wachaga miguu hawana na mwanamke legline bana...na avae skirt loh full raha
kuna kabila gani hapa tz lenye wasichana warembo kama wachaga na wapare(kilimanjaro kiujumla)
Warangi!!!!!
kabila langu afu mi ndo mzuri na mrembo kuliko wooooote..........njoo
kuna kabila gani hapa tz lenye wasichana warembo kama wachaga na wapare(kilimanjaro kiujumla)
Wasichana wa kihaya huwa wanasifikasana kwa kua na miguu mizuri .