Wasichana wasichana ugali tu

mimisa, wasemaje wewe!?? maana nakumbuka hata spaghetti ulikuwa hujui vipimo...
 
Last edited by a moderator:
Kizazi hiki Kazi mnayo...
hata ugali unawashinda?
 



Better ungesema "baadhi ya wasichana"
 
Wanawazingua tu, hawa wanawake ni wapishi wazuri sana wa ugali, na jinsi walivyowabahili hivi! Ukiwakuta akina lara 1, Kaunga na King'asti wanakata bondo mpaka wewe mwenyewe hutaamini!

Acha kabisa.... tena ugali tembele, naupendaje. Hapo unga robo na tembele za mia mbili.. Kitambi kuleeeee!!""
 
Hizi threads za kutunyanyapaa wanawake sasa naona zimezidi humu. Hem tuacheni tupumueeeee
 

Ni mambo ya kawaida mjini. Kupika sio issues. Kuna watu wengi wanatafuta kazi za kupika.
 

Chukua tano mkuu! Nimeipenda hiyo.
 
duuu,.... kuna watu wana majibu humu loooo!
 
sijui and i cant be bothered,watakaolewa na kuwa na familia then labda wana uhitaji wa kujua,
 
chapati siwezi,ugali maini:embarrassed1:
 
Ehhhhh! Tuna kazi mwaka huu....
 
Husband hata kuusikia ugali hataki
Yeye wali wali na yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…