Wasichana wasichana ugali tu

Wasichana wasichana ugali tu

mimisa, wasemaje wewe!?? maana nakumbuka hata spaghetti ulikuwa hujui vipimo...
 
Last edited by a moderator:
Kizazi hiki Kazi mnayo...
hata ugali unawashinda?
 
... wasichana wa mijini siku hizi NI HOVYO KABISA... balaa ukute ana ka gari weee... mbona wwnawake wenzie watamkoma... kumbe kanauza mbunye tu hata ugali hawezi pika... mbunye yenyewe chafuuuu.... kila kitu zero...maneno machafu..mwili mchafuu....sura chafuuuu....nguo hadi za ndani chafuu..... akili chafuuu..... BUT WACHEKI WANAVYOJIFANYA WAJUAJI.... hadi chupi hawana....
wtf....



Better ungesema "baadhi ya wasichana"
 
Wanawazingua tu, hawa wanawake ni wapishi wazuri sana wa ugali, na jinsi walivyowabahili hivi! Ukiwakuta akina lara 1, Kaunga na King'asti wanakata bondo mpaka wewe mwenyewe hutaamini!

Acha kabisa.... tena ugali tembele, naupendaje. Hapo unga robo na tembele za mia mbili.. Kitambi kuleeeee!!""
 
Hizi threads za kutunyanyapaa wanawake sasa naona zimezidi humu. Hem tuacheni tupumueeeee
 
Napata hofu kidogo baadhi ya wasichana hasa wa mjin mpaka kufikia umri wa kuolewa lakin hawezi kupika ugali tu.Dada zangu kuna ugumu gani kupika ugali,kijijin hata mtoto wa kike wa darasa la tatu anapikia familia ya watu watano na kuendelea mjini kazi ipo unakuta binti kafika mpaka chuo Kikuu kupika hawezi.nini tatizo jaman

Ni mambo ya kawaida mjini. Kupika sio issues. Kuna watu wengi wanatafuta kazi za kupika.
 
Sifa ya mtu anayetaka kuwa mama budi ajue kupika. Kama kile anachofanya Mwanaume ndicho mke anataka kufanya basi hamna haja ya kuoa. Ndoa imara ni ile ambaye mke anajitambua kuwa ni mke na siyo model au pambo la nyumba. Tukiendelea kujiuliza maswali ya kijinga namna hii itafika mahali watasema SIKUOLEWA KUZAA ZAA.

Chukua tano mkuu! Nimeipenda hiyo.
 
duuu,.... kuna watu wana majibu humu loooo!
 
sijui and i cant be bothered,watakaolewa na kuwa na familia then labda wana uhitaji wa kujua,
 
Ehhhhh! Tuna kazi mwaka huu....
 
Husband hata kuusikia ugali hataki
Yeye wali wali na yeye
 
Back
Top Bottom