Wasichana wasichana ugali tu

I like cooking na mojawapo ya vitu
nijuavyo kupika ni Ugali ingawa kula siupendi.....

Nakumbuka enzi mama angu ananifundisha kupika

ugali niliwahi kujua kuupika.......
 

c ndo hapo! Wanakaa kutusema tu! Oh kitandani zero,mapishi hamna ,hee! Kama unanipenda nifundishe hutaki UTAKULA WALI WA CHUYA!
 
ugal rahis sana kupika hata leo tu kama hujui kupika ukiamua kujifunza unaweza kua mpishi mzuri tu,ingekua pilau ama vyakula vingne vinavyohitaj process nying na ndefu sawa lakin ugal hata dakika tano haichukui oneni aibu kidogo

wee! Nani kakwambia dkk 5 zinawivisha ugali?huo utakuwa mbichi! Ugali unaformula yani bora vyakula vyoote! C ugali loh!
 

At least unajua kupika, wewe unafundishika.
Sasa mtu asieweza kuandaa hata chai utamfundisha kupika ugali ataweza?
 
Siku hizi mnaoa wake au wapishi??

Sifa ya mtu anayetaka kuwa mama budi ajue kupika. Kama kile anachofanya Mwanaume ndicho mke anataka kufanya basi hamna haja ya kuoa. Ndoa imara ni ile ambaye mke anajitambua kuwa ni mke na siyo model au pambo la nyumba. Tukiendelea kujiuliza maswali ya kijinga namna hii itafika mahali watasema SIKUOLEWA KUZAA ZAA.
 
Kama hakuna ugumu kupika ugali si upike mwenyewe?

Huyu mwanaume hajasema hajui kupika wala hajasema kupika ugali kuna ugumu. Ila kwa jinsi anayouona rahisi kupika ndicho kinachomshangaza kumwona Mwanamke asiyejua kuupika.
 
... wasichana wa mijini siku hizi NI HOVYO KABISA... balaa ukute ana ka gari weee... mbona wwnawake wenzie watamkoma... kumbe kanauza mbunye tu hata ugali hawezi pika... mbunye yenyewe chafuuuu.... kila kitu zero...maneno machafu..mwili mchafuu....sura chafuuuu....nguo hadi za ndani chafuu..... akili chafuuu..... BUT WACHEKI WANAVYOJIFANYA WAJUAJI.... hadi chupi hawana....
wtf....
 
Baga ndo zinasababisha, japo nazo hawezi kuzitengeneza...
 
Huyu mwanaume hajasema hajui kupika wala hajasema kupika ugali kuna ugumu. Ila kwa jinsi anayouona rahisi kupika ndicho kinachomshangaza kumwona Mwanamke asiyejua kuupika.

Ahsante kaka kwa kusaidia kuwaelesha manake hawataki kuambiwa ukweli
 

Binadamu kwa kawaida anafanya kile anacholazimika kukifanya, mimi siona haja ya kujua kupika ugali kama si lazimiki kupika ugali. Nisawa na kumlaumu mtu eti hajui kuendesha gari ya manual wakati hana mpango wa kununua manual
 

Mhhhhhhhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…