Wasichana waongoza Kwa ufaulu ardhi University

edbreezy

Member
Oct 14, 2022
58
109
Wasichana katika chuo kikuu cha Ardhi wameendelea kuibuka vinara kwa ufaulu dhidi wavulana ikiwa ni mwaka wa tatu mfululizo jambo lililotajwa kuleta matumaini katika usawa wa kijinsia katika elimu ya juu.

Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
 
Wanaume hawana cha kutoa kwa lecturers.
Kama tunaongoza basi ni wakati wa kufuta viti maalum, upendeleo kwenye teuzi na kila mtu apambane kwa msuli wake.
 
Mafanikio gani, hawa hawa mademu tuliokuwa tunawazidi tangu darasa la kwanza hadi form six, ety wafike chuo ndio akili ije.
Chuo sio kama shule ujue? Shule notice kibaoaaaa, chuo slide 2 tu jamani mwalimu anatoapo UE, mara leo anawapa desa la test flani ndiye itabeba UE. 😁 ‘nazungumzia hizi kozi za kina babe Arts na Business.
 
Wasichana katika chuo kikuu cha Ardhi wameendelea kuibuka vinara kwa ufaulu dhidi wavulana ikiwa ni mwaka wa tatu mfululizo jambo lililotajwa kuleta matumaini katika usawa wa kijinsia katika elimu ya juu.

Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Siku wanawake mkiongoza inakua habari ya mjini..sisi wamaume hutosikia tumeanzisha uzi maana kuongoza ni jadi yetu
 
Wanaume hawana cha kutoa kwa lecturers.
Kama tunaongoza basi ni wakati wa kufuta viti maalum, upendeleo kwenye teuzi na kila mtu apambane kwa msuli wake.
Hivi mi nmepata A course 6 na B+ course Moja jumala ya kozi ni 7 mwisho wa siku nmepata gpa 4.4 how?
 
Huwezileta mambo ya balance of gender kwenye mambo ya maarifa na mambo mengine siriazi. Balance of gender ni kwa ajili ya vitu ambavyo havihitaji weledi.
 
Wasichana katika chuo kikuu cha Ardhi wameendelea kuibuka vinara kwa ufaulu dhidi wavulana ikiwa ni mwaka wa tatu mfululizo jambo lililotajwa kuleta matumaini katika usawa wa kijinsia katika elimu ya juu.

Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Usikute walikuwa wanaliwa na Maprofesa wao, usiamini sana mwanamke mwenye degree wengi wao ni vilaza tu, hizo degree wanapewa tu baada ya kugawa uroda na kuchezewa sana na Maprofesa vyuoni
 
Back
Top Bottom