wasichana wanabore sana

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Jamani kuna tabia ya mademu inanibore sana. Yani mara baada ya kumu approach hata hujafanikiwa ana anza kurusha invoice. Tabia hii ni mbaya na inauzi sana wanaume kwahiyo muache kupiga invoice kabla. Muwe tu wavumilivu you will be taken care.
 
unawatoa wapi hao wa invoice? Sasa kama unaingia kwa gia za kupewa huduma na siyo love unategemea nini?
Tofautisha "kunywa kwenye tafrija" na "kunywa baa"!
 
uliingia kwa gia gani?kama ulianza kwa u knw wora amu seying,wats up wats up yoooo then inahuuuuuuuuu!They say utavuna ulichopanda!
 
uliingia kwa gia gani?kama ulianza kwa u knw wora amu seying,wats up wats up yoooo then inahuuuuuuuuu!

apo chachaaa...umeingia kwa gear ya ooh beb u knw ma contena nw is ready...ma dola akaunt is full nw ....ma dad is in new york nw doin ma shopng...beb pls tel me whats ya pbm i wl endo em ..count on me...AFU UKIPIGWA MZINGA UNAANZA KULIA LIA...ukimwingilia kitajiri lazima atangaze shda...ahh yule maiko sjui vp milion 5 zangu ajanipa mpk leo anategemea mi wknd i ntaipitashaje..afu ukiambia naomba sh laki moja niende salun wanuna...
 
teheteheee
jamaa yangu alitongoza vile vi vuvuzela vya mabibo hostel
kesho yake aliletewa list ya vipodozi total yake chini laki saba....kesho yake jamaa kabadili namba!
 
hiyo mizinga sometimes mnaitaka wenyewe.we ndio unamtongoza demu hata hamjaanza rasmi mahusiano unaanza kumuorozeshea mali zako hata hajakuuliza unategemea nini?mara ooh nina hotel kubwa shinyanga,nina hostel 2 dodoma,nina...,nina... shhhhhhhhh
Hiyo ndo dawa yenu
 
Mademu wote wanapiga mizinga kulingana na level zao. Demu low class atapiga invoice kulingana na level yake likewise high class

wooote?
nan kakudanganya wewe.....km unakutana na wa dzain iyo daily kimpango wako...BT SI MADEMU WOTE WANAPIGA MIZINGA..KM NI IVO KUSINGEKUWA NA WANAUME WANAOPENDA KULELEWA...INDPNDT WOMAN...SI WOOOTE WANAOPIGA MIZINGA WEWE ACHA USHAMBA UO KAKANGU.

KM UMEDONDOKEA pua na unakutana na wapiga miznga daily bas jichek fresh uwenda unajisifia sana so wanaoina ahhh uyu kisima cha pesa ....
 
Rose umeongea point sana ni kweli watu huwa wanatongoza mademu kwa kuanza kujifagilia nipo BOT sijui nn sijui nn we nenda kihivyo hivyo mtongoze demu akukubali na hali yako hapo ndo utakua umelamba ATM
 
Wenyewe ndio mwayataka hayo unakutana na mtu anaanza kuongea na simu oo lile kontena langu la simu liko njiani laja, mara unajua kuna yule nimemkopesha milioni tano ananizungusha na bla bla kibao unategemea nini? au mwingine anatoa simu tano tano mara kaongea na hii mara kaongea na hii mradi mashauzi tu lazima upigwe mzinga besides wanaume wa sasa usipomuomba tu utashangaa unaanza ombwa wewe
 
teheteheee
jamaa yangu alitongoza vile vi vuvuzela vya mabibo hostel
kesho yake aliletewa list ya vipodozi total yake chini laki saba....kesho yake jamaa kabadili namba!

hivi huwa mnafuata nini huko?
mpaka kufikia kupewa bills zote hizo,
huwa najiuliza wana nini cha maana hao mpaka uingie mfukoni kiivyo?
kama shida yako ni kugusa na kusepa, then taabu yote ya nini hiyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom